Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

Baada ya kuangalia hii clip nilimuonea huruma sana na kusikia vibaya. Pole zake nyingi sana.
 
Baada ya kuangalia hii clip nilimuonea huruma sana na kusikia vibaya. Pole zake nyingi sana.
kwa jibu alilopewa, ningekuwa mimi ningehama nchi.
 
Aiseeeeeeeee. Huo ubini ni lazima jibu kama hilo ulitegemee. Hizo siyo bini za vipaaza sauti siku hizi. Unwanted.
😳what a point! nifungue macho mtaalamu... kwanini siyo bini za vipaza sauti now days?
 
Mbona kwangu haifunguki, simu yangu inapungukiwa nini kwenye link kama hizi. Nikiclik inanipeleka kwenye ukurasa wa jamii forum tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…