Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Taasisi pendwa ya Tanroads haiongelewi vibaya. Ndio moja ya sababu ya jibu alilopewa. Na hata alichotaka kuongelea hakumalizia kukisema! Mtu asiye na hulka ya utulivu wa kusikiliza, hawezi kuwa na hekima!
 
angemjibu polite ingependeza sana
Stop stressing over things you can't control or change. Overthinking leads to negative thoughts. Be grateful and focus on the positive
 
Taasisi pendwa ya Tanroads haiongelewi vibaya. Ndio moja ya sababu ya jibu alilopewa. Na hata alichotaka kuongelea hakumalizia kukisema! Mtu asiye na hulka ya utulivu wa kusikiliza, hawezi kuwa na hekima!
taasisi mashuhuri hii ndio uti wa mgongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…