POLE SANA NEGRODAMUS kwa KUFIWA na BABA MZAZI WAKE MZEE SALEH.

POLE SANA NEGRODAMUS kwa KUFIWA na BABA MZAZI WAKE MZEE SALEH.

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Nasikitika kutangaza kifo cha baba yake Member mwenzetu Negrodemus aitwaye mzee SALE, kilichotokea TANGA usiku wa kuamkia leo;
Msiba uko nyumbani Makorola, mazishi ni leo alasiri. Habari ziwafikie wote!


Negrodemus tupo pamoja!


RIP SALEH.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni member JF au Chitchat?

Mungu amrehemu mzee wetu.

APEPE.
 
Naungana na waliotangulia hapo juu , nami kutoa pole zangu! Hata hivyo niseme naskitika kua nimelijua jina (ID) la mfiwa wakati amefiwa .
 
Pole sana mkuu..MUNGU ampumzishe kwa amani mzee Salehe
 
bwana ametwaa nae atachukua kilicho chake jina lake lihimidiwe
 
Pole sana ndugu, Mungu awape heri na nguvu katika hili
 
Salam za pole zikufikie mfiwa

Sante Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Negrodemus,ni mipango ya Mwenyezi Mungu.Baba yetu mzee Saleh tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi,ni safari yetu wote na sisi iko siku tutamfuata.Mungu akujalie Faraja,subira,na uvumilivu!
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wafiwa wote,
Pole sana mwana jf mwenzetu,
Asante Arushaone kwa taarifa.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom