Nasikitika kutangaza kifo cha baba yake Member mwenzetu Negrodemus aitwaye mzee SALE, kilichotokea TANGA usiku wa kuamkia leo;
Msiba uko nyumbani Makorola, mazishi ni leo alasiri. Habari ziwafikie wote!
Pole sana Negrodemus,ni mipango ya Mwenyezi Mungu.Baba yetu mzee Saleh tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi,ni safari yetu wote na sisi iko siku tutamfuata.Mungu akujalie Faraja,subira,na uvumilivu!