Pole sana Seth, Tulikuonya hukusikia

Ske
Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?

Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....

Le mbululaz kashafanya yake chezea njaa nini twn ni piga nikupige wa2 wanaishi kwa taiming,ukiwa legelege kma mchicha mwiba lazma upigwe 2
 
nchi ina vituko hii, we acha tu! Yaani tangu uwepo wa Instagram maselebriti wanaongezeka kila uchao!

Niliwahi ona tena thread wanamuongelea bikra wa kisukuma but binafsi sijui huyo mtu ni nani na anafanya nini ndo maana nikauliza.
 
Bikira itakua ana matatzo flani iv ...aligombana pia na kubwa jinga le mutuz...labda anawageuka wenzie...
 
Le mutuz nae ni muajiriwa tu, ndio aliemtapeli bikira wa kisukuma milioni mbili za hiyo party

- Hebu niwacheni bana siajiriwi na mtu hapa mjini, nina clients na nina ofisi yangu hapa Tancot House 2nd fl mara ya mwisho niliajiriwa USA sio hapa siajwahi ninafanya kazi zangu zinanipata mkate mojawapo ni matamasha, kama majuzi nimelifanya Arusha na kama kawa lilajaza sana maana ninakubalika sana na mabebezz na huwezi kufanya biashara ya matamasha kama hukubaliki na mabebezz kwanza, hahaha nicheni nipumzike bana!!

- Haya ya nani sijui hayanihusu kabisa!!

Le Mutuz
 
ndio maana bikira alikuwa akimtusi sana lemutuz?

- Hakuwa ananitusi alikuwa anajitusi mwenyewe, alikasirika kwa sababu alijua kukosana na mimi kumempotezea a big opportunity ya kucheza the game hapa mjini maana ukishagombana na mimi kila mwenye akili anaku note na kukuangalia kwa makini sana maana mimi mtu wa watu always, now comes this na huyu aliyemfukuza kazi ndiye aliyekuwa akimsifia sana kwenye Instagram yake, so jifunze ukitaka kufanya biashara za kujiajiri hapa mjini hugombani na watu kama mimi utaishia kujiumiza tu na public!!

- Alitaka tutayarishe tamasha pamoja, kabla sijampa his role akakosa subira akakimbilia Instagram kudai nimemuibia akaharibu mwenyewe, watu wote wanaonijua hapa mjini masiki kwa matajiri, viongozi kwa wananchi wanajua kwamba sijawahi kumuibia mtu, sasa leo kuja kumuibia huyu bwana mdogo how could that be true then comes this now what na huyu aliyemfukuza amemuonea?, au na yeye amemuibia?

Le Mutuz
 

Teh Teh
 
Mwezi wa saba mwaka jana hadi leo ameshapewa warning na discussions zimefanyika na termination imekuwa approved! Hamkua na kipindi cha kumfahamu? Kwahio alikua confirmed kazini siku alioanza kazi? Kwahio mlishampa na one month notice au nyie ni papo kwa papo? Nadhani mnahitaji mtu wa Resources (HRM)

Hamkua hata na contract??
 
mazito haya...
kikubwa asikate tamaa na aangalie mbele..
 
Vijana wa kitanzania acheni wivu wa kike mmesubiri apate matatizo ndo muanze kumponda..ohh mara anajifanya ana idea or anajishaua si mngemwambia kabla mambo hayajaharibika huo ni unafiki...
 
 
Niliwahi ona tena thread wanamuongelea bikra wa kisukuma but binafsi sijui huyo mtu ni nani na anafanya nini ndo maana nikauliza.

Huyu hapa chini.
Anaitwa bikira Wa kisukuma.
Le mutuz amekuwa maarufu kupitia mgongo wa jamaa
 

Attachments

  • 1424957312525.jpg
    47.9 KB · Views: 820
- Umeona enhee hahahahahaha ha

Le Mutuz



Hahahahaaaa! Hii inaitwa ADUI MUOMBE NJAAA. Lakini Le Baharia kijana akikosea akanyea kiganja hukikati, bali unakioshaaaa. Sasa bandugu mngeyamaliza tu kiutu uzimaaaa. Sasa white party Le Baharia ze complimentary fanya basi ze manuvaaaa.

Hii white party ukijipanga unaweza kuifanya nchi nzima kama FIESTA na ukapiga mkwanja, mi nakuaminia ujue Le Baharia, (huku unafikilia hio complimentary) manake hapa Dar ilijaza, ile FMAcademia A town nilifanya kupita kidogo ila ilijaza pia, so kwa mwendo huu hata mikoani itajaza ukifanya tour (Complimentary usisahaau basi).

Tatizo wabongo wanadhani mpaka uajiriwe ndo upige hela, kumbe events zina mshiko kinomaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…