William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hahahahaaaa! Hii inaitwa ADUI MUOMBE NJAAA. Lakini Le Baharia kijana akikosea akanyea kiganja hukikati, bali unakioshaaaa. Sasa bandugu mngeyamaliza tu kiutu uzimaaaa. Sasa white party Le Baharia ze complimentary fanya basi ze manuvaaaa.
Hii white party ukijipanga unaweza kuifanya nchi nzima kama FIESTA na ukapiga mkwanja, mi nakuaminia ujue Le Baharia, (huku unafikilia hio complimentary) manake hapa Dar ilijaza, ile FMAcademia A town nilifanya kupita kidogo ila ilijaza pia, so kwa mwendo huu hata mikoani itajaza ukifanya tour (Complimentary usisahaau basi).
Tatizo wabongo wanadhani mpaka uajiriwe ndo upige hela, kumbe events zina mshiko kinomaaa.
- Sio kweli dogo hana ubavu wa kuwa adui kama adui ni adui to yeye mwenyewe, well haina nipo matayarishoni kufanya White Party mwisho wa mwezi ujao so stay tuned si unajua huwa ninakusanya Wasanii na bendi nyingi, so stay tuned!!
Le Mutuz