mbotoki
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 268
- 115
Ske
Le mbululaz kashafanya yake chezea njaa nini twn ni piga nikupige wa2 wanaishi kwa taiming,ukiwa legelege kma mchicha mwiba lazma upigwe 2
Le Mbululaz ndo nani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ske
Le mbululaz kashafanya yake chezea njaa nini twn ni piga nikupige wa2 wanaishi kwa taiming,ukiwa legelege kma mchicha mwiba lazma upigwe 2
Le Mbululaz ndo nani mkuu?
Ahaa sasa imekujaje toka le mutuz mpaka le mbululaz?Mzee mmoja anaitwa le mutuz humu jf
Ahaa sasa imekujaje toka le mutuz mpaka le mbululaz?
Me nnavyoelewa mburula ni kama kashfa hivi.
Jamaa ni adui yako?
Kakufanya nini?
Au ndio "hamna sababu me simpendi basi tu"
Seth (Bikra wa kisukuma)?
bikira ipo sokoni
Kumbe ni mwanaume!? Sasa bikira kivipi hapo?
Kumbe ni mwanaume!? Sasa bikira kivipi hapo?
Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?
Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....
Kirahisi hivyo?Unajulikana ili upate connections. Maadamu keshajulikana connection sio issue. Unaenda tu kwenye makampuni unasema bwana mie flani niliandaa party flani unaondoka na mpungaa wako.
Nakubali mia kwa mia kwamba kujulikana ni one step forward katika kupata connections lakini kuna mambo mengine ya msingi zaidi unatakiwa kuwa nayo! Back up team ina mchango mkubwa zaidi kuliko huko kujulikana! Na kama unajulikana juu juu tu... unaweza kukuta ni kweli michongo unapata lakini over 90% unarudisha kule kule kwa wale wale waliokupa mchongo coz' umefahamiana nao ukubwani kwahiyo hawakuonei aibu na wala hauna back up team ya wao kuweza kuionea aibu ambayo labda kinyume chake huenda mngeenda pasu kwa pasu... au labda, uwe na uwezo wa ku-generate more than too much to the point kwamba, hata kama utabaki na 5% bado ina uwezo wa kunenepesha account!
But all in all, ikiwa ana uthubutu wa kutosha, nothing is impossible! Marehemu Profesa Shayo (RIP) aliwahi kupiga kampeni za kuwania Urais wa JMT kwa kutumia Mark II yake utafikiri alikuwa anatangaza ujio wa sabuni mpya mjini!!!!!