Pole sana Seth, Tulikuonya hukusikia

Mzee mmoja anaitwa le mutuz humu jf
Ahaa sasa imekujaje toka le mutuz mpaka le mbululaz?
Me nnavyoelewa mburula ni kama kashfa hivi.
Jamaa ni adui yako?
Kakufanya nini?
Au ndio "hamna sababu me simpendi basi tu"
 
Ahaa sasa imekujaje toka le mutuz mpaka le mbululaz?
Me nnavyoelewa mburula ni kama kashfa hivi.
Jamaa ni adui yako?
Kakufanya nini?
Au ndio "hamna sababu me simpendi basi tu"

Huo ni usemi wke yeye anapenda kuita wenzie le mbululaz
 
Kama sio uboya na ukuda ni nini Mwanaume mzima unajiita Bikira kifala.
 
Aaah kumbe huyu mchizi,msela wangu sana wa kitaa enzi hizo mitaa ya changanyikeni miaka hiyo nampata sana huyu jamaa
 
Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?

Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....

Mkuu. Najikuta nakubaliana na wewe . Manake kuna kipindi nimekuwa nakifuatilia DSTv kinaitwa "THE TALK."
hasa kipindi hiki cha karibuni kulipokuwa na majadiliano ya celebrities waliovalia vizuri kwenye Oscar. Na kingine kwenye channel ya fashion. Hawa ma-designer wa kiume ni kama mashoga kwakweli. Kuna mchangiaji mmoja amekaa na kundi la wanawake. The way anavyo ongea unajikuta kuu-question uanaume wake. Kwanza anapo pass remark huwa hajui kukosoa. Ni kusifia tu, lakini as if ni msichana anamsifia boyfriend wake.
 
Unajulikana ili upate connections. Maadamu keshajulikana connection sio issue. Unaenda tu kwenye makampuni unasema bwana mie flani niliandaa party flani unaondoka na mpungaa wako.
Kirahisi hivyo?
 

Mfano Saida Karoli alijulikana lakini kamba ilipokatwa, ni sheeeeda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…