Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Juzi nilimuona mkewe anaitwa irada kariakoo msimbazi anazurura tu na shoga yake nikajiuliza kulikoni muke ya mutu mkubwa yupo yupo tu mitaa ya kkoo anapiga misele nikanyamaza
Ungemchepusha saluni kwenye lile ghorofa akupe ubuyu
 
Juzi nilimuona mkewe anaitwa irada kariakoo msimbazi anazurura tu na shoga yake nikajiuliza kulikoni muke ya mutu mkubwa yupo yupo tu mitaa ya kkoo anapiga misele nikanyamaza
Yupo stressed

Polygamy ni changamoto

Vitu vyeupe ni gharama Sana

Ajichubue naye
 
We Tofauti na juma Lokole ni sura tu ila matendo ni sawa
 
Hapo “teeth” upo kitengo gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…