The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
Huyu ni miongoni mwa waliojichimbia zaidi. Maana consistency yake ni ya miaka mingiHapo βteethβ upo kitengo gani mkuu?
Siku nyingine soma halafu tembea tu ndugu mchumi.Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
πππππKwasababu tuna watu smart wachache ndio maana ukishine kidogo unaonekana kwa haraka.
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa nafikiri Mrisho mpoto ana akili sana na anaweza kuwa Rais, little did i know ! π
ππππππHapo βteethβ upo kitengo gani mkuu?
Dawati la doria mitandaoniHapo βteethβ upo kitengo gani mkuu?
ππππππNani kamchongea hahahaah.Ikute anapelekwa Washington DC ili akapammbane kumuondoa duniani Mange Kimambi.
πππππWewe sio kopo waka funiko wewe ndo ujinga wenyewe, Unafikiri JF wote wauza chumvi?
Humu hata Shamuya mwenyewe alishasema yumo na usikute ndo BICHWA KOMWE -
What was rubbish mkuu?
Haya, subiri uone akipelekwa China
Huyo jamaa siyo Ex-Spy ni Mtu wa JIKONI kabisa kama Kigogo2014 wa enzi za JPM.Hapo βteethβ upo kitengo gani mkuu?
Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
Things Fall Apart!Wewe kataa kwenda Ubalozi.
Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).
Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.
Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.
View attachment 3523795
Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!
Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?
Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake
View attachment 3523797
Uchawa mwingi kula pesa kazi zote fyongo we tangu lini wakatoliki wakawa waislamKwani alifanya kosa gani mpaka mama yake kaamua kutengana nae?
Nicheke tu, hadi nilimwambia mama, Mama mtu mzima anaelewa mambo alinijibu unadhani urais mchezo nini! ππππππ
Nadhani leo ndio umejua JF siyo jukwaa la wambeaWatanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact