Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Kwani alifanya kosa gani mpaka mama yake kaamua kutengana nae?
Hawa wakishakua karibu na rais Wana uwezo wa kuingia popote na kuvuta mpunga au kutoa amri .hasaa akiwa hajielewii. Hukumuona alivokua anapenda kuonekana sana akiwa benet na mama mpaka mama akitaka kuachia ushuzi anashindwa jamaa lipo pembeni utadhani yeye ndio ADC? kwanza ubalozi kampendelea sanaa angempa hata nafasi ya DC au afisa tarafa inamtosha.
 
Eng Samike Yuko wapi?
 
Huyo hatakiwi kuwa ndani ya Nchi Tena mana anajua mambo mengi hata uko Ubalozini atakuwa Monitored sana
 
Kati ya Balozi na personal secretary WA rais ipi ni hadhi Ya juu?
 
Kipi cha pekee kilichofanya waziri rajab asifike na kujulikana zaidi kwenye hiyo nafasi kuliko hawa waliomtangulia?
 
Huyo jamaa SI ndio kwao pale Morogoro mji mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…