Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

ni maajabu kumchamba mshauri wakati mjinga mkuu ni anaeshauriwa ambae bado yupo anaendeleza ujinga ule ule

as if huyu kijakazi ndio axis of evil wakati evil mwenyewe yupo ana run shit tu
 
Lichawi hilo, au siku hizi uchawi ndio usmati?
Uchawi ni utaalamu mkuu! Ila wazungu walitu-brainwash tu tukaona ni kitu kibaya wakati wao wakasifia kazi zao kama kujiita watalii lakini nyinyi mkienda kwao mnaitwa wakimbizi. Walijiita missionaries nyinyi mkafikiri ni watu wa maana kumbe walikuwa na mission ya kuwatawala na kuwaibia rasilimali zenu. Jitambueni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…