Thank you kwa kulileta hili,kuna kila sababu ya kuuchunguza uislamu kwanza kabla hatujaanza kumshambulia yahya kama nu kweli anaupaka
matope ama, laikini nijuacho mimi uislamu ueandaa aya nyuingi
zitumiwa kama albadili kuwadhuru watu, sasa hapa ninahitaji kueleweshwa kidogo kwa upande huu, hasa ukizingiti
Mfano maadili ya Bilblia ni kuwasamehe na kuwaombea wanaotuudhi, sasa huo wa kusoma albadili siyo ushirikana?
Ni nini albadili?
Tuelezee tupate anza kuichambua kutoka kwenye Quran na Sunnah.
*Topic kama hizi ni nzuri sana kuwafumbua macho Waislamu wa TZ.