Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
9,938
Reaction score
15,987
Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk wa ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu ,mahakama ya Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha

Wasirudie tena huo ujinga

Wanwache apambane na hali yake
 
Pole wanchadema waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha

Wasirudie tena huo ujinga
Si watu wote wanawaza vipaumbele kama vyako. Mwingine kipaumbele chake ni kutumia hela alizo nazo, mwingine kutafuta hela kwa kuwa anaona hana
 
Kwa kuwa uko upande wa kukandamiza haki za watu. Sisi tunapigania ustawi wa watoto wenu.

Historia itatukumbuka kusimamia kweli
 
Pole wanchadema waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha

Wasirudie tena huo ujinga
Ndomana mabinti mitaani wanakatika tu mwendo wa kukuna nazi wakitoka hapo ni kwenda kfl nn

Ova
 
Wanachama wanahamasishwa Nchi nzima waende kuhudhuria Kesi Kisutu, hivi Kisutu ni uwanja wa Taifa? Agenda Ilikuwa nini haswa?
 
Kwa kuwa uko upande wa kukandamiza haki za watu. Sisi tunapigania ustawi wa watoto wenu.

Historia itatukumbuka kusimamia kweli
Ha ha ha ha ha nyie mna historia gani ya kukumbukwa!!? Nchi ilishakombolewa na Nyerere na Karume, nyie mafala eti mkumbukwe!! Kwa lipi??
 
Back
Top Bottom