kesi ya lisu kisutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Siku kesi ya Lissu nashauri anaenda mahakama ya Kisutu aende na vitambulisho vya NIDA sababu kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi

    Siku kesi ya Lissu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi. Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni. Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao Hiyo itazuia watu wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Anaandika Mtumishi waMungu: UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

    Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk wa ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu ,mahakama ya Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha Wasirudie tena huo ujinga Wanwache apambane na hali yake
Back
Top Bottom