Si watu wote wanawaza vipaumbele kama vyako. Mwingine kipaumbele chake ni kutumia hela alizo nazo, mwingine kutafuta hela kwa kuwa anaona hanaPole wanchadema waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha
Wasirudie tena huo ujinga
Ndomana mabinti mitaani wanakatika tu mwendo wa kukuna nazi wakitoka hapo ni kwenda kfl nnPole wanchadema waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha
Wasirudie tena huo ujinga
Kwa kweli ni upuuzi mtupu.Wanachama wanahamasishwa Nchi nzima waende kuhudhuria Kesi Kisutu, hivi Kisutu ni uwanja wa Taifa? Agenda Ilikuwa nini haswa?
Ha ha ha ha ha nyie mna historia gani ya kukumbukwa!!? Nchi ilishakombolewa na Nyerere na Karume, nyie mafala eti mkumbukwe!! Kwa lipi??Kwa kuwa uko upande wa kukandamiza haki za watu. Sisi tunapigania ustawi wa watoto wenu.
Historia itatukumbuka kusimamia kweli