Kanywe chai kwanza urudi baadae zuchu hajaamka badoNampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
Chaee.....mtoni ni juu sikuhizi eti?
Chaee.....mtoni ni juu sikuhizi eti?
🤣🤣🤣🥴Hapo sasa 😂
sasa si kapewa yeye cute...kwanini tuwashwe🥴Pole best, alopewa kapewa
Hii ndo aina ya mashabiki ambao wasanii wanawahitaji, yn mashabiki matahira ambao hawawezi kuona baya kwa wasanii hao.Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
Happy , wewe ni mnafki na kama si mwanaume unayeiomba kwa staili basi ni kundi la wale wanaokaa kona baa na hongera baa wakisubiri wanaume wasio na wake.Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
na wewe unatoa mku*** kama alivyoimba Zuchu ili ifahamike?wamemuonea