Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

Mi binafsi huyo dada simkubali ukiniuliza kwa nini sina sababu.
 
Kwa kuwa ww n mmoja kati ya wanaotoa mku.... Kwa diamond ni haki kusema hvy
inashangaza sana, hi nchi watoto wetu wa kike sijui nani atawao, wanaume karibu 25% ni "si rizki" , waliobaki bado nao wanataka kulamba midomo, kutoboa pua, kufunga suruali chini ili mwanaume mwezie aone makalio yake na kuyatamani,
 
Pamoja na upuuzi wanaoufanya hawa vijana wadogo wa bongo fleva wanatengeneza pesa nyingi. Tusiwachukulie poa
 
Pamoja na upuuzi wanaoufanya hawa vijana wadogo wa bongo fleva wanatengeneza pesa nyingi. Tusiwachukulie poa
Kweli, fedha nyingi zinaokotwa kwa wajinga wanawachangia werevu.
Kwani fao la wake za viongozi limeletwa na maskini , ? si tajiri bilionea kasema anataka mafao, maskini wakapitisha, maskini huku nje wakashangilia wakasema wake za viongozi wanapataga shida sanana?
 
inashangaza sana, hi nchi watoto wetu wa kike sijui nani atawao, wanaume karibu 25% ni "si rizki" , waliobaki bado nao wanataka kulamba midomo, kutoboa pua, kufunga suruali chini ili mwanaume mwezie aone makalio yake na kuyatamani,
Vijana wanataka makubwa kuzidi uwezo wao, wacha watoe vijambio vyao mana ndio chanzo cha mapato yao
 
Pamoja na upuuzi wanaoufanya hawa vijana wadogo wa bongo fleva wanatengeneza pesa nyingi. Tusiwachukulie poa
Sasa kama mashabiki wenyewe ndio kama mtoa mada kwann wasanii wasitengeneze pesa nyingi.
 
Mtu akifanikiwa ata aimbe kaswida atachukiwa waswahili ndo mlivo
Acha kudhania
Wewe kama ni ndugu yake, basi mpe mawaidha, aachane na hayo manyimbo yatamuingiza Jahannam, unavyozidi kuunga mkono hayo madhambi ayafanyayo basi utabeba dhimma kubwa, Allah akitujaalia Ramadhan itakua jumatatu, je! Mmejiandaaje na mfungo wa Ramadhan!

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ﴿١٢﴾

Enyi walioamini! Jieupusheni sana na dhana kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. Na wala msifanyiane ujasusi, na wala wasisengenyane baadhi yenu wengineo. Je, anapenda mmoja wenu kwamba ale nyama ya nduguye aliyekufa? Basi mmelichukia hilo! Na mcheni Allaah! Hakika Allaah ni Mwingi wa kupokea tawbah, Mwenye kurehemu. [Al-Hujuraat (59: 12)]
 
Back
Top Bottom