Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

Ati Kenya ilimuua. Eti hakujifukiza. Wewe ulizaliwa na shetani. You're very ignorant corona inapiga pressups tulia
Nilitaka kuleta Uzi hapa Ila mod wanafuta nyuzi ninazoleta zenye nguvu nilitabiri hatari ya huyo aliyekuwa raisi wa Burundi kwenda kutibiwa Kenya niliona kifo chake mapema sana sema basi tu, Wakenya siyo watu, Wakenya ni mkono wa mabeberu, lengo lilikuwa ni kuonye kuwa mlevi Uhuru yupo sahihi kuliko tz kwa kum ... huyo rais. Kwa jinsi ugonjwa wa korona unavyo UA ni raisi doctor kumuua mgonjwa wa korona kwa kumnyima pumzi na isijulikane.
 
Nakwambia corona ime aibisha nchi nyingi sana, ukijifanya mjuaji, unaonyeshwa na corona kumbe haujui kitu,
ukijifanya sijui ulikua na mahospitali kali kali, unaonyeshwa kumbe haukua na kitu.

Ukijifanya sijui nchi yako ina uwezo wa kupambana na janga lolote, corona inakwambia rudi darasani ukaanze upya..
ukijifanya mlikua na uwezo mkubwa wa kuitafiti.

Alafu kuna hili gora lengine la wakaidi wanajifanya wao pekee ndo Mungu anaskiza maombi yao, corona sasa imewaonesha hata Mungu mwenyewe kupitia Bibilia amesema mara nyengine ili yeye akusaidie, ni lazima ujaribu kujisaidia mwenyewe alafu ndo uombe Mungu abariki juhudi zako.

Kwa mfano, kama we ni msomi, basi tia bidii usome alafu ndo uombe Mungu ufanyikiwe kwa mtihani au katika utendakazi wako, Si kuketi chini na kutarajia Mungu atende miujiza wakati we mwenyewe una uwezo wa kujisaidia.

---------
Proverbs 21:31 - The horse is made ready for the day of battle, but victory rests with the Lord.

Na kumbe hata Quran inamaandishi kama hayo

Indeed Allah will not change the conditions of a population until they change what is in themselves. Qur'an 13:11
Leteni official statement kwamba nkurunziza kafa kwa corona.
 
Nilitaka kuleta Uzi hapa Ila mod wanafuta nyuzi ninazoleta zenye nguvu nilitabiri hatari ya huyo aliyekuwa raisi wa Burundi kwenda kutibiwa Kenya niliona kifo chake mapema sana sema basi tu ,wakenya siyo watu,wakenya ni mkono wa mabeberu ,lengo lilikuwa ni kuonye kuwa mlevi Uhuru yupo sahihi kuliko tz kwa kum ..huyo raisi
Kwa jinsi ugonjwa wa korona unavyo UA ni raisi doctor kumuua mgonjwa wa korona kwa kumnyima pumzi na isijulikane
Nkurunzinza ameaga dunia akiwa hospitalini Burundi sio Kenya. Mke wake ndiye anayepokea matibabu Nairobi. Yaani hata kusoma tu taarifa iliyoandikwa kwa kiswahili ni kibarua kigumu pia?
 
Poleni warundi mazeee dah. Jamaa kafuata dezo dezo za jiwe ona sasaa!
 
Nilitaka kuleta Uzi hapa Ila mod wanafuta nyuzi ninazoleta zenye nguvu nilitabiri hatari ya huyo aliyekuwa raisi wa Burundi kwenda kutibiwa Kenya niliona kifo chake mapema sana sema basi tu ,wakenya siyo watu,wakenya ni mkono wa mabeberu, lengo lilikuwa ni kuonye kuwa mlevi Uhuru yupo sahihi kuliko tz kwa kum ...huyo rais.

Kwa jinsi ugonjwa wa korona unavyo UA ni raisi doctor kumuua mgonjwa wa korona kwa kumnyima pumzi na isijulikane
Ni ujinga unakuanga nayo hivi ama leo is a special day?
 
Leteni official statement kwamba nkurunziza kafa kwa corona
Mkewe anatibiwa huku Nairobi kwa complications zilizoletwa baada ya kuambukizwa corona, kwahivyo haichukui genius kukamilisha kwamba mumewe pia alishikishwa corona na bibi yake, especially vile wote walikua hawachukui tahadhari zozote kujikinga kwani waliamini hakuna corona Burundi.

Rais wa miaka 55 kufa na Heart Attack litakua ni jambo ya kimaajabu sana, Especially vile alikua na personal physicians kadhaa na wote hawakuona hii heart attack ikija. Huyu jamaa lazima alikua na coronando ikaleta complication zengine
 
Mkewe anatibiwa huku Nairobi kwa complications zilizoletwa baada ya kuambukizwa corona.... kwahivyo haichukui genius kukamilisha kwamba mumewe pia alishikishwa corona na bibi yake, especially vile wote walikua hawachukui tahadhari zozote kujikinga kwani waliamini hakuna corona Burundi...

Rais wa miaka 55 kufa na Heart Attack litakua ni jambo ya kimaajabu sana, Especially vile alikua na personal physicians kadhaa na wote hawakuona hii heart attack ikija. Huyu jamaa lazima alikua na coronando ikaleta complication zengine
Sasa mmeshakuwa wapiga ramli..siku hizi hakuna vifo vingine zaidi ya corona, mtu akifa, kafa kwa corona duh so sad! Hiyo heart attack hainaga umri jombaa wanakufa wacheza mpira kwa heart attack, leta official statement kuwa nkuruzinza amekufa kwa covid, lah sivyo utakuwa unaimba taarab tu.
 
Sasa mmeshakuwa wapiga ramli..siku hizi hakuna vifo vingine zaidi ya corona,mtu akifa,kafa kwa corona duh so sad!!..hiyo heart attack hainaga umri jombaa wanakufa wacheza mpira kwa heart attack..leta official statement kuwa nkuruzinza amekufa kwa covid..lah sivyo utakuwa unaimba taarab tu.
Hakuna nchi yenye inajiheshimu itatangaza kifo cha aibu kama hivyo haswa iwe ni rais alikua agenda yake kuu wakati huo ni kwamba hakuna corona alafu unakufa na corona! Hilo nijambo hutawahi kusikia labda serekali mpya ifwatayo iwe ni serekali ya kutoka upinzani lakini kama ni kutoka kwa chama cha rais, kila mtu anaejua ukweli ataficha hio siri hadi azikwe nayo. MWanzo mahali kama burundi hata usishangae wale bodyguards na wafanyikazi wengine wakipotea bila kupatikana tena sababu tu walikua wanajua ukweli na wanaweza kuaibisha serekali.

Wale wanao ongea kwa sasa ni watu ambao wako exile wametumiwa habari kamili manake wao tu ndo wanaeza kuongea bila kutishika kwa maisha yao.

--------------
Pierre Nkurunziza, Burundi’s strongman president, may have become the world's first leader to die of Covid-19, according to opposition sources.

The Burundian government, which insisted for months that its country had been spared from the coronavirus pandemic because of its faith in God, announced that Mr Nkurunziza had died of a heart attack. He was 55.

The government announced “with great sadness the unexpected death of His Excellency Pierre Nkurunziza, President of the Republic of Burundi, at the Karusi Fiftieth Anniversary Hospital following a cardiac arrest on June 8, 2020," the government said on its official Twitter account on Tuesday. However, opposition sources and journalists living in exile claimed that Mr Nkurunziza had been undergoing treatment for Covid-19 at a hospital in Karuzi in the centre of the country after he fell ill over the weekend.

Burundian president may be first world leader to die of Covid-19, opposition sources say
 
Hakuna nchi yenye inajiheshimu itatangaza kifo cha aibu kama hivyo haswa iwe ni rais alikua agenda yake kuu wakati huo ni kwamba hakuna corona alafu unakufa na corona! Hilo nijambo hutawahi kusikia labda serekali mpya ifwatayo iwe ni serekali ya kutoka upinzani lakini kama ni kutoka kwa chama cha rais, kila mtu anaejua ukweli ataficha hio siri hadi azikwe nayo... MWanzo mahali kama burundi hata usishangae wale bodyguards na wafanyikazi wengine wakipotea bila kupatikana tena sababu tu walikua wanajua ukweli na wanaweza kuaibisha serekali.

Porojo always
 
--------

Huu ndio ukweli japo utapingwa kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom