Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

Sio polisi wote ni wakatili .... wengine ni wema wachaMungu wazuri sana na wanakasirishwa na haya mauaji yanayotokea ,tatizo ni mifumo mibovu ya wakubwa wao inawakatisha tamaa
 
Nafahamu Nje ya kazi yake no baba wa familia, na mume wa mtu Ila Amiri jeshi Mkuu wao alisema Kifo ni Kifo tu.

So, tuishi humo.
 
20260410_165356.jpg
 
Sio polisi wote ni wakatili .... wengine ni wema wachaMungu wazuri sana na wanakasirishwa na haya mauaji yanayotokea ,tatizo ni mifumo mibovu ya wakubwa wao inawakatisha tamaa
Nje ya mada. Hivi siku hizi niko.busy au nini hiki. Hawa jamaa wamehama huku mitaani kwetu?
 
Back
Top Bottom