Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

Feeling the heat of an airline that has just started flying to SA ??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ Thats is like a house cat thinking hehas formed a rivelry with a lion πŸ˜… O. Tambo airport handles 21 million PAX with more than 50 international airlines of all ranges from budget ailines to premium.... And here comes ATCL and everyoneis 'scared'. πŸ˜›πŸ˜›
 
Nimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hili
Hii ni pigo kubwa sana kwa urafiki WA nchi hizi mbili aibu tupu kabisa. Sasa TZ mtafanyaje
 
Mawakili Wa Serikali Wanaacha Kwenda Mahakamani Afrika Kusini Kutetea Ndege Yetu Wanajazana Kisutu (Mawakili 16) Kutetea Lissu Avuliwe Ubunge! Hii Nchi Vipaumbele Vyake ni tofauti na Nchi zingine. Balaa
 
Hujaalikwa msibani, kaeni muomboleze ya kwenu. Kwani msiba wa Bandari kuchukuliwa na Wachina mmeanua matanga?
Bandari yetu ipo Kenya bado na haijahamishwa Hadi Uchina, ATCL yenu IPO Oliver Tambo imekamatwa na kuwekwa rehani Hadi pale mtakapolipa deni...yani mshazoea kukatalia Madeni ya wafadhili wenu...mkaanza na World Bank, IMF, Brazil, Canada na Sasa hamna hata aibu mnawakausha hata "Mliowakomboa"? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Napenda Sana Hii habari nitawaponda nayo miaka na mikakati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Abiria washaichukia "twiga mnyonge" pia wana hofu iko siku wanaweza kutakiwa kulipia deni!!!
 
CCM ni laana kubwa sana kwa hili Taifa, shame on these bastards
 
Hahaha hawa watu sikujua kama wanateseka this deep, yaani roho zao bariiiiiiid

Moronism of the highest order, utafikiri Magufuli ndio anazama mfukoni kwenye mshahara wake kulipia hilo deni.
Wee punga kwani huyo bwana ako alivyonunua hizi ndege alimshirikisha nani?? Si ni yee na mtoto wa dadake wanajichotea pesa za walipe kodi kama zipo kwenye kibubu chao..??
Taahira jike wewe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements
Viongozi ma-genius huwezi kusikia ndege za mataifa yao zinakamatwa na kupata aibu na fedhea ya namna hii..
Huyu ni kichaa..
Analoliweza kwa ufanisi ni kuteka tu..
Sasa atume watekaji wakaiteke na ndege pale SA..
Poor Nzi wa kijani.
 
East African airways ilikufa hivi tuu.. Tanzania kutolipa madeni na pesa for the running of the airline. Kenya ilichoka na kuchukua ndege zao, baadaye wakawaita waKenya wezi wa ndege.. aisee

Lipeni madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…