Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
tuna madeni ya kufa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikitiko yata solve nini ?!.Nawe ni galegale! Kwa yeyote anayeshabikia unyama huu ni mhaini
Kwani anayedai chake ni adui yako?Usijali tunatatua na tutatoboa tu, ukishaanza kufanikiwa hukosi maadui, tutalipa na tutasonga mbele, litakuja lingine tutalipa pia!
Its an abuse of court process, possibly a rouge judge in SA. You cannot issue such orders Ex-Partie..The one who sought such orders cannot claim ignorance of where ATCL offices or contact are and there is no reason why they didnt serve ATCL with their affidavits and notice of them taking ATCL to court.But the court has already issued the order. Or what did you mean [emoji23][emoji23]
Waliozikwida hizo hela wapo ila Magufuli akiwagusa nyie wakwanza kumlaumu. Lipi jema kwenu?Masikitiko yata solve nini ?!.
Walioiingiza nchi yetu kwenye shida hizi ni hawa unawasikitikia. Na pia hawataki mawazo nje ya wao. Kikubwa wakae na wadeni wao waondoe elements za uadui. Kama ni kesi tumeshindwa nyingi huko nje.
Tutalipa dawa ya deni c kulipa
Ukarimu ndiyo takataka gani hiyo?Yaani CYRIL RAMAPHOSA pamoja na ukarimu ambao mshkaji wake kamuonesha haya ndio anatufanyia kweli? kweli? why? whhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhy.?? inauma sana.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Safari hii snich gani mtammiminia risasi 16 mchana kweupe??Hata mimi ningekuwa na uwezo ningewauwa wote ma-snitches, tutalipa kama tunadaiwa na tutasonga mbele, baby wetu ataendelea kutua AK!
Nani kauliwa huku, nyinyi mshapata muuaji wa msando?Kwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?
Ni mahakama ya SA ndio imeorder ndege ishikiliwe, sio executive, sasa ramaphosa anaingiaje hapa, huko shuleni mnasomeaga ujinga?
Hujanielewa, na hueleweki.Unafikikiria km jiwe angelinyamaza...angeli order mahakama iiwachie...watu wanfuata sheria sio km huyo bulldozer wenu
Kauli za ovyo na za kuhisihisi watu huku mkikimbia kivuli chenu.Asante sana, Tanzania kuna ma-snitches ambao wanapigana usiku na mchana kusabotage nchi yetu, sleeping with the enemy basically.
TruuMuda sio mrefu tutaambiwa South Africa ni nchi ya mabeberu inashirikiana na Kenya kuliua shirika la ndege la Tanzania!!
Halafu juzi tu, rais wa South Africa alikuwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC, akaisifia mnoo Tanzania na Magufuli akampongeza sana kwa kuweza kuifanya South Africa kuwa nchi rafiki na Tanzania. Sasa hichi kimbembe cha kukamatwa ndege ya Tanzania ndio kinadhihirisha wazi kuwa diplomasia ya siasa za kiafrika ni unafiki, unafiki, unafiki, unafiki, unafiki.....