Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

Nawe ni galegale! Kwa yeyote anayeshabikia unyama huu ni mhaini
Masikitiko yata solve nini ?!.
Walioiingiza nchi yetu kwenye shida hizi ni hawa unawasikitikia. Na pia hawataki mawazo nje ya wao. Kikubwa wakae na wadeni wao waondoe elements za uadui. Kama ni kesi tumeshindwa nyingi huko nje.
 
But the court has already issued the order. Or what did you mean [emoji23][emoji23]
Its an abuse of court process, possibly a rouge judge in SA. You cannot issue such orders Ex-Partie..The one who sought such orders cannot claim ignorance of where ATCL offices or contact are and there is no reason why they didnt serve ATCL with their affidavits and notice of them taking ATCL to court.
 
Masikitiko yata solve nini ?!.
Walioiingiza nchi yetu kwenye shida hizi ni hawa unawasikitikia. Na pia hawataki mawazo nje ya wao. Kikubwa wakae na wadeni wao waondoe elements za uadui. Kama ni kesi tumeshindwa nyingi huko nje.
Waliozikwida hizo hela wapo ila Magufuli akiwagusa nyie wakwanza kumlaumu. Lipi jema kwenu?
 
Yaani CYRIL RAMAPHOSA pamoja na ukarimu ambao mshkaji wake kamuonesha haya ndio anatufanyia kweli? kweli? why? whhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhy.?? inauma sana.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ukarimu ndiyo takataka gani hiyo?
 
Kwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?
Nani kauliwa huku, nyinyi mshapata muuaji wa msando?
 
Unafikikiria km jiwe angelinyamaza...angeli order mahakama iiwachie...watu wanfuata sheria sio km huyo bulldozer wenu
Ni mahakama ya SA ndio imeorder ndege ishikiliwe, sio executive, sasa ramaphosa anaingiaje hapa, huko shuleni mnasomeaga ujinga?
 
Asante sana, Tanzania kuna ma-snitches ambao wanapigana usiku na mchana kusabotage nchi yetu, sleeping with the enemy basically.
Kauli za ovyo na za kuhisihisi watu huku mkikimbia kivuli chenu.
 
Kumbe ni verbal diarrhea tu hizi Midanganyika, mara ooh tunanunua na pesa zetu, mara tunaenda Mwezini, mara tutashuka. .. . ..... Duuuh .
 
Muda sio mrefu tutaambiwa South Africa ni nchi ya mabeberu inashirikiana na Kenya kuliua shirika la ndege la Tanzania!!

Halafu juzi tu, rais wa South Africa alikuwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC, akaisifia mnoo Tanzania na Magufuli akampongeza sana kwa kuweza kuifanya South Africa kuwa nchi rafiki na Tanzania. Sasa hichi kimbembe cha kukamatwa ndege ya Tanzania ndio kinadhihirisha wazi kuwa diplomasia ya siasa za kiafrika ni unafiki, unafiki, unafiki, unafiki, unafiki.....
Truu
 
Hii ndio inaitwa democracy.....Cyril Ramaphosa has no say whatsoever on whatever is happening to ATCL. He will just watch from the sidelines.....Not like Tz where Magu'fool controls all institutions!
 
Such a shame for this country, they never learn from mistakes. Started with Canada now south Africa.. Kukula pesa ya deni rahisi kulipa shida
 
Back
Top Bottom