Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani reli imesombwa na mafuriko kilomita kadhaa.
Hii ni Narrow Gauge Rail ya mkoloni! Upper level kulikuwa na dams before zilizo-manage waterflowrate ila siltation imejaza dams na mchanga! All in all kuna plans za kuihamisha milimani kuhepa floods!Infrastructure yenyewe ndio mbaya. Wanajenga kadaraja kadogo halafu mafuriko yakitokea kadaraja kanabebwa. Ndio maana sisi tuliamua kujenga class A. Yaani reli inapitia juu kwa juu. Geza alikuwa anacheka reli yetu eti ni expensive sana lakini leo Wabongo watajua kuwa cheap is expensive. Geza Ulole. joto la jiwe
Tena huaga wanapenda kujishau sana, eti wao na china ni marafiki..Nimeona katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa nchi ya Africa Equatorial Guinea imetoa msaada wa $2M kwa China kupambana na Corona Virus inayoitesa China!
Haraka sana nikatafakari nchi tajiri chini ya jemedari John Pombe Magufuli inapitwa kweli na kanchi kadogo kama Equatorial Guinea?
Chini ya Magufuli aliyetengeneza TZ inayochuruzika maziwa na asali kila pembe kiasi cha wananchi kuvimbiwa kweli imeshindwa kutoa msaada kwa china?
Magufuli baba, uliitangaza hii nchi ni 'dona kantre', usikubali kupitwa na Equatorial Guinea hebu imwagie China msaada ipambane na Korona. joto la jiwe
Easier said than doneHii ni Narrow Gauge Rail ya mkoloni! Upper level kulikuwa na dams before zilizo-manage waterflowrate ila siltation imejaza dams na mchanga! All in all kuna plans za kuihamisha milimani kuhepa floods!
Wabongo buana, yaani wachina wawili wanachapa kijiji kizima kungfu hadi wanakijiji wanafikia maamuzi ya kuhama? [emoji38][emoji38][emoji38]Nyang'au bado wana hasira ya kunyukwa viboko na mchina.
Wabongo buana, yaani wachina wawili wanachapa kijiji kizima kungfu hadi wanakijiji wanafikia maamuzi ya kuhama? [emoji38][emoji38][emoji38]Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
Unaweza kumbusha ni lini alisema "nchi hii ni dona kantre" na siku aliposema "nchi hii ni ya asali na maziwa". Ambacho huwa anasema na wala hakina ubishi ni kuwa " nchi hii inapaswa kuwa dona kantre" kitu ambacho kwa mwendo huu kitatimia.Nimeona katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa nchi ya Africa Equatorial Guinea imetoa msaada wa $2M kwa China kupambana na Corona Virus inayoitesa China!
Haraka sana nikatafakari nchi tajiri chini ya jemedari John Pombe Magufuli inapitwa kweli na kanchi kadogo kama Equatorial Guinea?
Chini ya Magufuli aliyetengeneza TZ inayochuruzika maziwa na asali kila pembe kiasi cha wananchi kuvimbiwa kweli imeshindwa kutoa msaada kwa china?
Magufuli baba, uliitangaza hii nchi ni 'dona kantre', usikubali kupitwa na Equatorial Guinea hebu imwagie China msaada ipambane na Korona. joto la jiwe
Nanyi poleni kwa nzige wa jangwani
The Guardian: Food fears grow as swarms of locusts reach Uganda and Tanzania.Halafu hili la nzige mumekua mkichekelea Wakenya, nimeona wamekatiza na kuja huko....
Ni kosa sana kuchekelea majanga kwa jirani bila kufahamu yanaweza yakakukuta.