Kwanza nilijua hili mlitatua kitambo, hata nikausahau uzi nikidhani mumeshalifanyia kazi maana mkuregenzi alisema mnakwenda hasara ya milioni mia kwa siku, nimeshangaa sana leo ndio mnaibuka kusema limetatuliwa, Afrika bado sana haswa kama nchi ni maskini kama ilivyo yenu.
Halafu naona kwa video wanasema ni temporally tu ili kufungua njia, yaani kazi bado ipo, dah poleni ila umaskini ni laana, tatizo sijui huwa mnakwama wapi ilhali mna kila kitu, mlipaswa kuwa taifa la pili au tatu kwa utajiri Afrika, sema hupewi vyote, ubongo na raslimali, lazima unyimwe moja.
Kwetu hapa hatuna madini wala ardhi lakini tunawazidi mara mbili kiuchumi.
Tazama video jamaa wanasema ni temporally , siku zote hizo bado mnaongea mambo ya temporally .