MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Umeongea mashudu mengi kichizi
Umasikini wenu umetia fora View attachment 1367887View attachment 1367888
Cha msingi umeipata pointi yangu, hasara milioni mia kwa siku halafu kwa mlivyo wazembe mumeachia siku zote hizo zimeenda, nimeshangaa sana eti leo ndio mnasema mumefanya kidogo ya kuachia treni zipite tu. UCCM ukikuingia inakua kama ukichaa fulani hivi.