pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ndio kawaida yao, wakiona presha imezidi huwa wanazamia kusikojulikana. Ila najua kwa uhakika kwamba popote walipo wanafatilia habari kutoka kwa media za Kenya kwa umakini wa hali ya juu.Hehehe hizi taarifa za wao kupigwa kungfu zilikomesha kiherehere walichokua nacho kwa siku mbili.
Sasa wameingia mitini na kukaa kimya.
Baadhi ya hawa watu ni washamba kupindukia. Nzige wenyewe walitoka Yemen na Saudia kabla ya kufika Afrika Eritrea, Djibouti, Ethiopia kisha wakaingia Somalia na Kenya. Sasaa hivi wamefika hadi Oman na Pakistan. Nchini Kenya ndege kutoka kwa KDF zimetumika, alafu na zingine zikakodishwa na za ziada zikatoka kwa shirika husika la AU. Ila bado uvamizi unaendelea, madawa ya kupuliza nayo hayapatikaniHalafu hili la nzige mumekua mkichekelea Wakenya, nimeona wamekatiza na kuja huko....
Ni kosa sana kuchekelea majanga kwa jirani bila kufahamu yanaweza yakakukuta.
Anko unajua hiyo reli ya mwaka gani au imejengwa mwaka gani?Yaani reli imesombwa na mafuriko na kuharibiwa kilomita 100, hasara ya milioni mia moja kwa siku kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu.
Halafu hili la nzige mumekua mkichekelea Wakenya, nimeona wamekatiza na kuja huko....
Ni kosa sana kuchekelea majanga kwa jirani bila kufahamu yanaweza yakakukuta.
Mbona lugha iliyo tumika ni rafiki ya kutoa pole kwa jirani au kosa lipo wapiHalafu hili la nzige mumekua mkichekelea Wakenya, nimeona wamekatiza na kuja huko....
Ni kosa sana kuchekelea majanga kwa jirani bila kufahamu yanaweza yakakukuta.
Mmeshazika Kikongwe wenu mnaleta shida huku,Kunya boys veepe?Tena huaga wanapenda kujishau sana, eti wao na china ni marafiki..
Lkn sai nashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Doesn't change the fact that it has been damaged.
Wa jamaa kwa mipasho uko vizuriNimeona katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa nchi ya Africa Equatorial Guinea imetoa msaada wa $2M kwa China kupambana na Corona Virus inayoitesa China!
Haraka sana nikatafakari nchi tajiri chini ya jemedari John Pombe Magufuli inapitwa kweli na kanchi kadogo kama Equatorial Guinea?
Chini ya Magufuli aliyetengeneza TZ inayochuruzika maziwa na asali kila pembe kiasi cha wananchi kuvimbiwa kweli imeshindwa kutoa msaada kwa china?
Magufuli baba, uliitangaza hii nchi ni 'dona kantre', usikubali kupitwa na Equatorial Guinea hebu imwagie China msaada ipambane na Korona. joto la jiwe
Na nyie ni wazembe zaidi mnaangukiwa na maghorofa Nairobi bila tetemeko.Mwaka sio tatizo, la msingi ni kwamba mnaitumia na kuitegemea na inasombwa na mafuriko kizembe zembe na kusababisha hasara ya mabilioni, inaonyesha mlivyo wazembe kwa kushindwa kufanyia stability kitu mliachiwa na mkoloni enzi za mababu zenu.
Rudi katika nyuzi za udaku jombaMmeshazika Kikongwe wenu mnaleta shida huku,Kunya boys veepe?
Hapa hutowaona
Huyu mjinga alifungua huu uzi kinafiki ili atupe updates ya kilichotokea lakini cha ajabu hatupi tena updates sasa hivi πππHapa hutowaona
kilometers zaidi ya 100 zimesombwa na mafuriko, haijapata week tayari milima imechorongwa, madaraja yamejengwa, tuta jipya limetengenezwa, reli imesukwa trains za mizigo zinapita
Wao gari lilidumbukia tu kwenye ufukwe mfupi lakini iliwachukua miezi kuliopoa πππ
Hapa hutowaona
kilometers zaidi ya 100 zimesombwa na mafuriko, haijapata week tayari milima imechorongwa, madaraja yamejengwa, tuta jipya limetengenezwa, reli imesukwa trains za mizigo zinapita
Wao gari lilidumbukia tu kwenye ufukwe mfupi lakini iliwachukua miezi kuliopoa πππ
LOL halafu alifikiri ni sgr ndio ilizombwa na majiHuyu mjinga alifungua huu uzi kinafiki ili atupe updates ya kilichotokea lakini cha ajabu hatupi tena updates sasa hivi πππ
Nilitegemea labda angeendelea kutupa updates mbalimbali lakini ameukimbia uzi wake baada ya kuona hapa ni kazi tu.
Umeongea mashudu mengi kichiziKwanza nilijua hili mlitatua kitambo, hata nikausahau uzi nikidhani mumeshalifanyia kazi maana mkuregenzi alisema mnakwenda hasara ya milioni mia kwa siku, nimeshangaa sana leo ndio mnaibuka kusema limetatuliwa, Afrika bado sana haswa kama nchi ni maskini kama ilivyo yenu.
Halafu naona kwa video wanasema ni temporally tu ili kufungua njia, yaani kazi bado ipo, dah poleni ila umaskini ni laana, tatizo sijui huwa mnakwama wapi ilhali mna kila kitu, mlipaswa kuwa taifa la pili au tatu kwa utajiri Afrika, sema hupewi vyote, ubongo na raslimali, lazima unyimwe moja.
Kwetu hapa hatuna madini wala ardhi lakini tunawazidi mara mbili kiuchumi.
Tazama video jamaa wanasema ni temporally , siku zote hizo bado mnaongea mambo ya temporally .