Cha msingi umeipata pointi yangu, hasara milioni mia kwa siku halafu kwa mlivyo wazembe mumeachia siku zote hizo zimeenda, nimeshangaa sana eti leo ndio mnasema mumefanya kidogo ya kuachia treni zipite tu. UCCM ukikuingia inakua kama ukichaa fulani hivi.