Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Baada ya kuona Mashabiki wake wanalalamika sana sehemu mbali mbali kuwa Jamaa anawaangusha ikabidi niende kuangalia kunani huko! Angalia post ya mwisho kupost kabla ya jana mashabiki wake wanavyo lalamika utawaonea huruma wanaomba jamaa apost hata kama akiwa anakula!
Ndio inavyotakiwa mashabiki wa kumiss, sio kila ufanyacho wapost.
Jamaa sijawahi ona hata akireplie sehemu yoyote ile sijui kama kuna mtu aliwahi ona kiba ame replie chochote insta naomba atuambie
Inaonesha lifestyle yake inakuuma sana, hahaha hamia tu kwa Kiba achana na hao wauza sura washamba wa mitandao.:-D