Poleni mashabiki wa Ali Kiba, hatimaye leo amepost!

Poleni mashabiki wa Ali Kiba, hatimaye leo amepost!

Baada ya kuona Mashabiki wake wanalalamika sana sehemu mbali mbali kuwa Jamaa anawaangusha ikabidi niende kuangalia kunani huko! Angalia post ya mwisho kupost kabla ya jana mashabiki wake wanavyo lalamika utawaonea huruma wanaomba jamaa apost hata kama akiwa anakula!

Ndio inavyotakiwa mashabiki wa kumiss, sio kila ufanyacho wapost.


Jamaa sijawahi ona hata akireplie sehemu yoyote ile sijui kama kuna mtu aliwahi ona kiba ame replie chochote insta naomba atuambie

Inaonesha lifestyle yake inakuuma sana, hahaha hamia tu kwa Kiba achana na hao wauza sura washamba wa mitandao.:-D
 
Huyu ndio Kiba ninayemjua,ila ile ya mwanzo alikuwa anapelekeshwa na mashabiki wake na yeye keshatambua hilo la kupelekeshwa na mashabiki wake kaamua kuishi vile alivyozoea.
 
Kweli watanzania hawana shughuli za kufanya... la huo muda wa kujua anaposti au haposti wasingeupata
 
Mi nnavyojua sio mastaa wote wanapost binafsi kwenye account zao. Wengi wanakua na managers wanao oversee social media zao na kuwapostia vitu muhimu. I guess kiba hana hy ndo maana inambidi apost mwenyewe akipata nafasi
Msanii gani bongo anayefanya hayo mambo ya kupostiwa vitu?
 
Mmmh sasa kama hana cha kupost mnataka apost nini, embu mwacheni anyooshwe na simbaa
 
Back
Top Bottom