Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Baada ya kuona Mashabiki wake wanalalamika sana sehemu mbali mbali kuwa Jamaa anawaangusha ikabidi niende kuangalia kunani huko! Angalia post ya mwisho kupost kabla ya jana mashabiki wake wanavyo lalamika utawaonea huruma wanaomba jamaa apost hata kama akiwa anakula!
Jamaa sijawahi ona hata akireplie sehemu yoyote ile sijui kama kuna mtu aliwahi ona kiba ame replie chochote insta naomba atuambie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana ikawa ivyo.Wamvumilie tu, muda mwingi anakua porini kwenye tembo huko hakuna network.....
Ha ha ha nawewe umvumilie si shabiki wake lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana ikawa ivyo.
ww mtoto punguza ukal wa maneno ha ha haaaaaaaWamvumilie tu, muda mwingi anakua porini kwenye tembo huko hakuna network.....
Msanii gani bongo anayefanya hayo mambo ya kupostiwa vitu?Mi nnavyojua sio mastaa wote wanapost binafsi kwenye account zao. Wengi wanakua na managers wanao oversee social media zao na kuwapostia vitu muhimu. I guess kiba hana hy ndo maana inambidi apost mwenyewe akipata nafasi
mkuu mashabiki wake wanataka apost atakama yuko porini watafuraiMmmh sasa kama hana cha kupost mnataka apost nini, embu mwacheni anyooshwe na simbaa