Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Asikudanganye Mtu Suala Ni Maslahi Tu Mkuu - Fiesta Hailipi Ndo Maana WCB Ni Kama Hawaitaki, Raymond Anafanya Kwa Kuwa Bado Ni Msanii Mpya Anajenga Jina Kwanza,yaani Hata Kama Ingekuwa Bure Angefanya.Kule Mtwara Harmonise Alienda Kwakuwa Ni Kwao Na Tena Ni Baada Ya Kushawishiwa Na Kina Soudy Wa Shilawadu.Ndio Maana Kina Mavoko Wana Mambo Yao Tu Mengine.Ukitaka Kujua Suala La Mkataba Na Voda Ni Kisingizio Tu.Diammd Ana Show Ya Zantel Zanzibar Na Atafanya.Usiwaone Wasanii Ngoma Zinapigwa Wee Wanapewa Misifa Kibao,faida Yake Ni Kupewa Sifa Na Kihela Mbuzi Cha Show.Njaa Kalii
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
....pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa babaaaa sabuni ya rooooooooohhhhhhooooo...jammaaaa UNA AMBIWA ANAVUNA NOTI ZA ADABU KWENYE HUO MKATABA ASEEEEEEWE WEWE PITA KUSHOTO TUUU ASEEEEEE
 
Pole ya nn sas hapo!!!!! Kwan mond kapga show ngap toka ameanza game
[HASHTAG]#STUKA[/HASHTAG]
 
Mond yuko juu asee sio kwa msafara ule kule malawi!

hongera kwa kutoa ajira kwa vijana wengi kiasi kile!!
mwenzangu diamond ana msafara wa hatari.
mond ni celeb wa kweli maana kila kitu chake kiko undercontrol kama president..
bongo hakuna celeb mwingine..
halafu sio mbinafsi anaheshimu wote, anawapenda anaishi nao kama ndugu zake..
hio ndo tabia nzuri ya diamond kuliko zote.

tofauti na mastar wengine, juzi imekuja kesi davido hajalipa madansa wake halafu nasikia naija hawathamini kabisa madansa
 
Aaaaa kumbe hio,we think beyond Tanzania kwa sasa tunafanya show za kimataifa,hapa bongo hayo mafiesta tushayafanya sana,so tumewachia akina kiba nao watunishe kamfuko.sasa pole ya nin hapo!!
 
Kwa ukubwa wa Diamond sasa hivi sio msanii wa kufanya fiesta
Diamond sasa hivi anafanya show africa
Yupo malawi, akitoka huko anaenda kenya , Zimbabwe, alafu Zambia
Sashivi huyu mwingine zake ni tanzania then mombasa
Hata uganda tu hana mashabiki
Diamond is too big for fiesta
 
nimemuelewa sana mkuu! yuko social sana wale wamalawi wanavyojiachia na self
 
Basi nikawa napitia comments za wakenya wanajisifia kinoma ile ndege yao aliyotumia mpaka wanakera
 
chonde chonde asije kusema yeye ni mkubwa kuliko jay z
 
Hivi hizi team mnazosema za kina kiba na diamond jezi zake naweza kupata wapi? Maana huku polini kwetu naweza Pata pesa nyingi sana
achana na hizo timu wewe endelea kulima huko polini! unataka huku mjini tukose chakula? msimu wa mvua unakaribia....😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…