Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Diamond yupo kwenye list ya show ya Fiesta ......sema anapanda jukwaani kama surprise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mtu wa Diamond maaana hapo ni kwamba Kiba atajiachia sana ,pale ambapo Kiba atakuwa anajiachia na kushangiliwa basi team mond watanuna na kuvimba,poleni sana,watu tusio na team ni full kuenjoy maana tunaangalia muziki mzuri na sio msanii[emoji2]
Ule mkataba hakuna kiumbe wa kuumbia, over 1 bil ukatae? huko fiesta wanakulipa kias gani?Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Kuwa balozi wa vodacom hiyo sio sababu jamaa Kuto kusajiliwa fiesta clouds watakuwa wameshindwa mpunga wa kumlipa jamaa kuna kipindi mashabiki wa daimond walileta documenty hapa chini ya milion 100 jamaa hafanyi show
-Nyerere-
Kwa hiyo mtu anaeimba live ndo kigezo cha kupewa mkwanja mrefu.....et mil. 100 HV mnamuona huyo domo wenu ni dhahabu Sana au hiyo mil.100 zinaokotwa acheni kumpaisha huyo MTU wenu kuimba live kwenyewe ziro+
Kila mkataba una kanuni zake hivyo usitegemee kumuona kwenye fiesta.Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Sikutegemea kama nitakutana na comment ya namna hii...Kuwa balozi wa vodacom hiyo sio sababu jamaa Kuto kusajiliwa fiesta clouds watakuwa wameshindwa mpunga wa kumlipa jamaa kuna kipindi mashabiki wa daimond walileta documenty hapa chini ya milion 100 jamaa hafanyi show
-Nyerere-
Umeona eeh fiesta ni kumshusha thaman kabisaDiamond kiwango chake ni MTV sio fiesta mavumbini
Mtoto wa kike unakuwa na SUMU ya kiwango hiki mwilini mwako ni hatari sana,hebu kafanye check up ya mwili wako,uone kama vidonda vya tumbo vimekukosa.Wewe huwezi kuishi hata na watoto wa ndugu yako,sikuambii House girl.et mil. 100 HV mnamuona huyo domo wenu ni dhahabu Sana au hiyo mil.100 zinaokotwa acheni kumpaisha huyo MTU wenu kuimba live kwenyewe ziro+
INSANEIle show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa. Sababu ni kwamba Diamond ni balozi wa Vodacom, sasa akiwa kama balozi wa Voda ni hawezi kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Tigo.
Pole sana mtu wa Diamond maaana hapo ni kwamba Kiba atajiachia sana, pale ambapo Kiba atakuwa anajiachia na kushangiliwa basi team Mond watanuna na kuvimba. Poleni sana, watu tusio na team ni full kuenjoy maana tunaangalia muziki mzuri na sio msanii[emoji2]
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Napenda avatar yakoWw mm namtamani chali ya moshi alibi koala aana alipoimba kichaga... inyi ni mchaka....daaa namkubali sanaaaaa...team kiba juuuu