Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

Jamani, kweli hatokuwepo? Roho inaniumaje? Na vile namchukia kiba....
Teh teh...
Tigo sio watu wa mchezo mchezo..
 
Hivi clouds fm mpaka hivi leo hawajamtangaza msanii yoyote Kutoka USA manake mpaka leo naona bila bila na si kawaida yao
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Pengine wewe ndo mpuuzi bila kujijua. Excuse my language.
 
14606267_1222450161110129_5338452912698848315_n.jpg
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Hujuii biashra..ww .mulize Rick rose.anajua ..napita ......
 
Kamugwaya kiba tu.....anaogopa buuuu na makopo ya mkojo
Hii stage diamond kashapita sasa hivi anafanya show africa nzima habar za kubishana bongo kashapita
Muombee Alikiba na yeye apate show hata kwa majirani uganda sio kila siku kenya na bongo tu
 
Najitahidi kumuelewa Diamond ila nashindwa. Team Mond mnawezaje aisee?
 
Sio mbaya maana Salaam atakua back stage, na usiulize mini kitafuata
 
Najitahidi kumuelewa Diamond ila nashindwa. Team Mond mnawezaje aisee?
Ni kawaida huwezi kueleweka na watu wote,na ndio maana kuna watu wanamuelewa kiba,ila mimi sijawahi kumuelewa na siwashangai kwasababu ndio dunia ilivyo. UNACHOKIPENDA WEWE,SIO ANACHOKIPENDA MWENZIO.
 
Back
Top Bottom