Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

Diamond yupo kwenye list ya show ya Fiesta ......sema anapanda jukwaani kama surprise
 
Unazinunia vipi show za Ndondo Cup?!

waswahili bhana!
Basi mumfuatwe nigeria mtu mwenyewe wa kawaida tu na bado anawaletea dharau, hapo ndio ilitakiwa ahusike akate kiu ya mashabiki wake maana wengi show za kawaida hamna uwezo wa kuingia!
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Ule mkataba hakuna kiumbe wa kuumbia, over 1 bil ukatae? huko fiesta wanakulipa kias gani?
 
Me sipendi unafiki hiv Alikiba kaanza kuimba nini siku hizi...wimbo kama Risabela kaimba kiwango kibovu sana...utadhani chipukizi vile anaboa siku hizi
 
Kuwa balozi wa vodacom hiyo sio sababu jamaa Kuto kusajiliwa fiesta clouds watakuwa wameshindwa mpunga wa kumlipa jamaa kuna kipindi mashabiki wa daimond walileta documenty hapa chini ya milion 100 jamaa hafanyi show

-Nyerere-

et mil. 100 HV mnamuona huyo domo wenu ni dhahabu Sana au hiyo mil.100 zinaokotwa acheni kumpaisha huyo MTU wenu kuimba live kwenyewe ziro+
 
et mil. 100 HV mnamuona huyo domo wenu ni dhahabu Sana au hiyo mil.100 zinaokotwa acheni kumpaisha huyo MTU wenu kuimba live kwenyewe ziro+
Kwa hiyo mtu anaeimba live ndo kigezo cha kupewa mkwanja mrefu.....

Show ni performance ni jinsi utakonga nyoyo za wasikilizaji......mfano mzuri mj show zake nyingi hakukuwa cjui na malive band lkn ndo killer wa stage usikall maisha
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Kila mkataba una kanuni zake hivyo usitegemee kumuona kwenye fiesta.
Hapa kinacho angaliwa ni pesa sio kuuza sura tuu.... Tigo hawawezi kumlipa kama anavyo lipwa na Voda na coca-cola...Mkataba wake na hayo makampuni unamlipa sana na ni lazima aulinde vyema
 
Kuwa balozi wa vodacom hiyo sio sababu jamaa Kuto kusajiliwa fiesta clouds watakuwa wameshindwa mpunga wa kumlipa jamaa kuna kipindi mashabiki wa daimond walileta documenty hapa chini ya milion 100 jamaa hafanyi show

-Nyerere-
Sikutegemea kama nitakutana na comment ya namna hii...
 
Diamond kwenye Ratiba yake Ana show morogoro ana show Dar! Sasa ubishi usiwepo haya Jmos hayupo Fiest ila tutalinganisha wingi wa watu katika Fiesta Jmos na watakao ingia kwenye Show ya Diamond akiwa Dar es salaam na kiingilio kitazingatiwa!!!!!

Show za Diamond huwezi Ringanisha na Fiesta....Fiesta ni show ya Bei rahisi sanaaaaaa ndo maanaa wasanii hawalipwi vizurii!!!! Watu wanachoipendea Fiesta ni kuwa wasanii ni wengi na kiingilio ni Bei Rahisi sanaaaa,ndo maana Rubby alikataa wewe wasanii zaidi ya 10 unaingia kuwaona kwa sh.Elfu 9 kweli thamani ya msanii hapo iko wapi? Utawalipa sh ngapi kwa hela hiyo utapata Faida kiasi gani ndo maana Fiesta wasanii hawalipwi vizuri naona bila kujua thamani ya usanii wao wanakubali kirahisi rahisi tuu!! Ndio maana sahizi wameamua kuwaleta wanigeria!

Fiesta si lolote si chochote ila ni kuwakandamiza wasanii wetu! Tuache ushabiki huoo!!!!! Atabika diamond show hapa kiingilio elfu 50 watu watajaa mtaanza kusema nyumba ile kapanga!

Wasaanii wabadirike Fiesta haina chochote wala sio show ya msanii kujivunia akiperfom Uzuri ni rundo la wasanii ila malipo yakeee mfyuuuu
 
et mil. 100 HV mnamuona huyo domo wenu ni dhahabu Sana au hiyo mil.100 zinaokotwa acheni kumpaisha huyo MTU wenu kuimba live kwenyewe ziro+
Mtoto wa kike unakuwa na SUMU ya kiwango hiki mwilini mwako ni hatari sana,hebu kafanye check up ya mwili wako,uone kama vidonda vya tumbo vimekukosa.Wewe huwezi kuishi hata na watoto wa ndugu yako,sikuambii House girl.
 
INSANE
 
Ww mm namtamani chali ya moshi alibi koala aana alipoimba kichaga... inyi ni mchaka....daaa namkubali sanaaaaa...team kiba juuuu
 
Hivi mkwanja wa shoo zingine anazofanya sasa na huu wa mawingu upi unananoga?
 
Dhaaaa iyi 20000 yang bola nile bata2
 
Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?

Kwa hiyo ndoa za wakristo ni za kipuuzi kama mameneja wa mr. almasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…