Platinum Kama upo huku jua ww ni NYOOOO.....KO aiseeeh [emoji109]Hapo wameshaona kuwa tarehe 4 - 6 yupo Nigeria,hayupo Bongo.
Pengine wewe ndo mpuuzi bila kujijua. Excuse my language.Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Hujuii biashra..ww .mulize Rick rose.anajua ..napita ......Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Kamugwaya kiba tu.....anaogopa buuuu na makopo ya mkojoHujuii biashra..ww .mulize Rick rose.anajua ..napita ......
Hii stage diamond kashapita sasa hivi anafanya show africa nzima habar za kubishana bongo kashapitaKamugwaya kiba tu.....anaogopa buuuu na makopo ya mkojo
Dada yangu ukisema hivo unakosea,DIAMOND tokea jana yupo NIGERIA.Kamugwaya kiba tu.....anaogopa buuuu na makopo ya mkojo
Umesahau 25,000/= ukilipia getini.18,000 ukilipia kwa tigopesa
20,000 ukilipia kwa cash
Ni kawaida huwezi kueleweka na watu wote,na ndio maana kuna watu wanamuelewa kiba,ila mimi sijawahi kumuelewa na siwashangai kwasababu ndio dunia ilivyo. UNACHOKIPENDA WEWE,SIO ANACHOKIPENDA MWENZIO.Najitahidi kumuelewa Diamond ila nashindwa. Team Mond mnawezaje aisee?