Poleni ndugu zangu maana hii ni zaidi ya kufiwa

Poleni ndugu zangu maana hii ni zaidi ya kufiwa

maddox

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,086
Reaction score
4,669
Niaje niaje............najua kuna baadhi tunaishi huku wengine wana ndugu wengine jamaa na kadharika.........ila ili limenigusa sana .........maana kurudi tena nyumbani kuja kuanza upya ni kisanga .......ingawa nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani...........
 
Attachments

  • Screenshot_20250125_105629_Instagram.jpg
    Screenshot_20250125_105629_Instagram.jpg
    624.3 KB · Views: 5
"Wamexican" watapata tabu sana kwa Trump...
 
Kwa mwenye uelewa wa mambo anaweza nisaidia hapa.

Deportation inawahusu wageni wote walioingia USA kwa njia zisizo halali ?
Kwa mfano kuzamia, kuingia na kuomba ukimbizi na mambo kama ya overstay.

Kwa wale wote waliongia kama wanafunzi au watalii hii inakuwa haiwahusu ?
 
Kama upo kihalali hakuna shida
 
Back
Top Bottom