Kwa hiyo hawana hata kebegi kenye zawadi kwa bibi?
Ushaambiwa rudi nyumbani hapo utamkumbukaje bibi wakati kitu kama kuharisha..........hakuna breakKwa hiyo hawana hata kebegi kenye zawadi kwa bibi?
Bora hao wanajuaga wanawindwa kila wakati.....ambao wamepata suprise kubwa wakati huu ni wahindi"Wamexican" watapata tabu sana kwa Trump...
Kama upo kihalali hakuna shidaKwa mwenye uelewa wa mambo anaweza nisaidia hapa.
Deportation inawahusu wageni wote walioingia USA kwa njia zisizo halali ?
Kwa mfano kuzamia, kuingia na kuomba ukimbizi na mambo kama ya overstay.
Kwa wale wote waliongia kama wanafunzi au watalii hii inakuwa haiwahusu ?