Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

Mbowe sasa ahaminiki tukubali tukatae
Madaraka matamu sana hata wewe unayemtetea mbowe ukipewa cheo hutamani kukiachia kirahis
Mi nimeshika madaraka mbalimbali nyingine nilijiuzulu huku nazitaman na nikakosa manufaa ambayo ningekuwa nayo Leo

Wanachama tunatakiwa shinikizo KWA mbowe apumzike ije changamoto nyingine tuone tutakua au kukwama

Kiukweli nyalandu anatufaa
Hata kama n pandikizi tukubaliane kuwa' mchawi MPE mtoto akulelee'
 
Chakaza, Jenga hoja bila jazba, matusi ya nini?
Mdogo wangu tufanye utani kwenye siasa zetu za kawaida maana sisi ni ndugu. Hatuchukiani, mtu asiyetumia akili aonapo pengine Wakudadavuwa na Chakaza wanajibizana hapa anaweza kudhani kuna mtu anamchukia mwingine, lakini sio hivyo hata kidogo.
Sisi ni rafiki na nisipokuona JF sisikii raha hasa kwa kuukosa uongo wako.
Lakini kwenye masuala ya maisha ya watu kupotea au kuumizwa kwa kweli sitaki utani na lugha ikibadilika muniwie radhi.
 
Meningitis umeisha nunuliwa kamanda??
Sio wewe au umeondoka na Boss wako Sumaye ili ukaunge mkono!!
Ndio maana tunawastukia, njaa mbaya saana.
M4 C inasonga mbele ikiongozwa na kamanda Mbowe.
Mchujo unaendelea mtaisha wote mapandikizi wa Lumumba!!
Unaamini Meningitis anaweza kununuliwa?
#trendreading
 
Sina lengo la kukwaza ili ukweli lazima uumize ...nilionya hamkuelewa?
 
Kuanzia Soweto,Iringa, Morogoro walioiishi Chadema walidhurika hoja ya Meninjitis inamashiko,kwa ahadi ya mabadiliko hewa mwaka 2015 mlimtukana kila aliyewaonya....
 
Sumaye na Lowassa wawasili Mwanza, shughuli imekwisha tukutane kesho ccm Kirumba Makamanda[emoji16]
 
Great thinkers!

Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.

Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Mkuu uliona mbali kitambo
 
Uzi wa dec 5, 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…