DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni mwendo wa kufukua makaburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Lissu angeachwa agombee mwenyewe uwenyekiti damu hiyo ndiyo ingerudi.Great thinkers!
Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.
Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Uzi wa dec 5, 2019
Ulisemaje?Rubbish.......
Tambua mkuu Meningitis, waliomwaga damu katika Chadema, wamefanya hivyo kutokana na udikteta wa Mwenyekiti wako Jiwe......
Kuna aliyemwaga damu zaidi ya Jiwe katika nchi hii??
upo upande upi kwa sasa ??We mnafiki si umepita bila kupingwa kwenye uenyekiti wa SM , hoja yako ni ipi tena ? kutoka udaktari hadi kwenye uongozi wa kijiji ! hili ni anguko kubwa sana .
Ha ha ha ...Hana lolote , namjua kuliko unavyodhani , njaa mpaka machoni
mitandao hii inatunza kumbukumbuNdio mlichobakiza .Awamu ya 5 ukabila ndio mmeona dira.Mlianza ooh CHADEMA wakaskazini,mkaja wachaga sasa mmeanza Wamarangu.Msituletee mambo yenu ya Rwanda huko.
Mkuu Chakaza bado upo Jf?meningitis, Yaani Jiwe atuulie ndugu zetu lawama tumpe Mbowe?
Mnapoleta hoja za ushindani wa kisiasa msiingize maneno yenye kukumbusha hisia za majonzi.
Hivi maneno hayo waweza kuwaambia wazazi wa Ben? Au mke wa Azory?
Usirudie tena kuleta hoja za aina hii maana zinatukwaza sana
Duuh! Mkuu wewe uliona mbali sana.Great thinkers!
Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.
Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.