Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

Great thinkers!

Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.

Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Kwa hiyo Lissu angeachwa agombee mwenyewe uwenyekiti damu hiyo ndiyo ingerudi.

Lissu anajua sheria ila kwa siasa hasa za bongo bado sana.
Kwanza approach ya kutangaza nia ilikuwa hivyo kabisa - ile si hotuba ya mtu anayetaka kuongoza taasisi inayokwenda kuichallenge CCM kushika dola.
 
Rubbish.......

Tambua mkuu Meningitis, waliomwaga damu katika Chadema, wamefanya hivyo kutokana na udikteta wa Mwenyekiti wako Jiwe......

Kuna aliyemwaga damu zaidi ya Jiwe katika nchi hii??
Ulisemaje?
 
We mnafiki si umepita bila kupingwa kwenye uenyekiti wa SM , hoja yako ni ipi tena ? kutoka udaktari hadi kwenye uongozi wa kijiji ! hili ni anguko kubwa sana .
upo upande upi kwa sasa ??
 
Ndio mlichobakiza .Awamu ya 5 ukabila ndio mmeona dira.Mlianza ooh CHADEMA wakaskazini,mkaja wachaga sasa mmeanza Wamarangu.Msituletee mambo yenu ya Rwanda huko.
mitandao hii inatunza kumbukumbu
 
Mkuu Chakaza bado upo Jf?
 
Great thinkers!

Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.

Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Duuh! Mkuu wewe uliona mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…