Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo wote!
Sina mengi ya kusema zaidi ya Nuru ndogo (ya kibatari) haiwezi kufukuza Giza la eneo kubwa. Nuru iongezwe ili Giza lisiweze kusimama mbele ya uso wa nchi.
Nataka niwaambie huwezi mshinda adui aliyekuzidi nguvu na mbinu.
Pili Huwezi mshinda adui anayetaka kukuua ikiwa hutokuwa na roho ngumu. Yaani kama unaroho ya huruma usiingie kwenye battle la adui ambaye yupo tayari kuua.
Mungu awe nanyi.
Mtibeli