Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kwa hiyo unataka kutuambia tukubali na tutiii hatuwezi kucheza hii Ngoma ?Hamjambo wote!
Sina mengi ya kusema zaidi ya Nuru ndogo (ya kibatari) haiwezi kufukuza Giza la eneo kubwa. Nuru iongezwe ili Giza lisiweze kusimama mbele ya uso wa nchi.
Nataka niwaambie huwezi mshinda adui aliyekuzidi nguvu na mbinu.
Pili Huwezi mshinda adui anayetaka kukuua ikiwa hutokuwa na roho ngumu. Yaani kama unaroho ya huruma usiingie kwenye battle la adui ambaye yupo tayari kuua.
Mungu awe nanyi.
Mtibeli
Oya Weee dogo kwenye mijadala ya wanaume na watu wazima kaa pembeni. Nenda zako huko kwa watoto wenzako.Kwa hiyo unataka kutuambia tukubali na tutiii hatuwezi kucheza hii Ngoma ?
Kwa hiyo unataka kutuambia tukubali na tutiii hatuwezi kucheza hii Ngoma ?
😄
Ova
Mtakoma
Ile avatar yako ya kulishwa keki iko wapi.!?
Una heshima yangu kwenye mabandiko yako, ila kidogo nisahau nani kaandika..! 🥴
So ulitegemea upate majibu ya kumkosoa boss wa aliyekupa kazi na ulaji .
Some shit doesn't make sense Watanzania waliotegemea majibu tofauti na yaliyotolewa Leo Wana shida kubwa ya utambuzi.
Binafsi report ipo sahihi maana nilichokuwa najua sio independent committee and I expect nothing kutoka kwao.
Mwenye masikio na asikie na mwenye macho asome sasa.Nuru iongezwe. Nuru mfano wa jua au walau kubwa kubwa zaidi. Nguvu zaidi nguvu zaidi.
Kisha roho ya ushujaa, ujasiri, bila huruma, bila kusita, bila kujali.
Maana adui naye anatumia mbinu hizohizo.
Ngoma ya watoto haikeshi.
Usipange vita ukiwa mikono mitupu na mdomo tuu na adui mwenye silaha.
Pia, game haitambui unyonge, kutia huruma, kusubiri msaada.
Mwenye masikio na asikie na mwenye macho asome sasa.
It’s either now or never.