Wapi? Weka address hapa.Kwamba haujafukuzwa kwa bibi wa kizungu?
Bro huku kufa kwa njaa umetaka mwenyewe, sawa mtu hana hela ina maana ameshindwa kuuza hata makopo au kuomba hata watu wamsaidie. Lakini kule kama huna makazi unagandishwa so usizifananishe hizo situation mbili.Una maana bora wa huku wanaokufa kwa njaa na magonjwa ??
Hao madiaspora wanaotuma hela huku sio homeless kwakuwa wanakazi zao zinazowaingizia kipato. Homeless wa kule wengi wanakazi za kubangaiza. We mtu atume hela huku alafu hana hata uwezo wa kupanga.Bongo hakuna madawa? Chid benz, Hawa, Lord Eyez, RayC, Langa nk walikua Marekani?
Mnajua hao diaspora/homeless wanatuma kiasi gani kwa mwaka? Kama wanatuma hela nyingi hivyo ni bora kuwa homeless kiwanja kuliko bongo.
Aibu ya nini kwa kipi wabongo walichowazidi hasa?
Mtu utoke kula vumbi urudi tena kula vumbi utakua sio mzima.
Unajua remittances wanazotuma diaspora/homeless bongo kwa mwaka? Ni hela ya kuendesha bajeti ya wizara kadhaa hapo Tanganyika. Hao ndo homeless wa kiwanja endelea kujifariji.
Unaishi jimbo la Dallas jiji la Texas na ulikuwa mbeba box na bibi wa kizungu anaitwa michelle pellosi mstaafu katika bank ya first hirizon bank in Texas niendeleee?Wapi? Weka address hapa.
Sijawahi kuachwa na mwanamke maisha yangu yote. Na niliowaacha wote mpaka kesho bado wananitaka.
Unataka jimbo uniunganishie kwa mama yako?
Simtaki mama yako ana gono sugu.
I have never been to Dallas Texas in my life.Unaishi jimbo la Dallas jiji la Texas na ulikuwa mbeba box na bibi wa kizungu anaitwa michelle pellosi mstaafu katika bank ya first hirizon bank in Texas niendeleee?