Kumbe kuteseka ni sifa nzuri mkuu🥶🤔Mbona haya mateso ni kawaida hata hapa nyumbani yapo wewe utakua sio hasola au umekuzwa na singo maza full kudekezwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuteseka ni sifa nzuri mkuu🥶🤔Mbona haya mateso ni kawaida hata hapa nyumbani yapo wewe utakua sio hasola au umekuzwa na singo maza full kudekezwa tu.
Alafu anasema eti kugandishwa hadi kufa ni mateso ya kawaida.Kumbe kuteseka ni sifa nzuri mkuu🥶🤔
Ingekuwa kila mtu anaishi alipozaliwa hata hao kina mo na gsm usingewajua maana gsm katokea kwao yemen ndio kaja kufanikiwa huku, mo babu zake walitokea india wakaja bongo na family members wengine wapo marekani na yeye kasoma marekani, bakhressa family members wengi wapo oman , elon musk katoka kwao southafrica kaenda kutobolea marekani,Kwani mafanikio hayapatikani hapahapa Bongo?
Kwani wakinaBakhresa, Mo na GSM walienda Marekani ndo wakafanikiwa? Vipi kuhusu wakina Mengi?
Mkuu nitajie Mtanzania aliyepata mafanikio huko Marekani. Na kuhusiana na Elon Musk yule mama yake ni Mcanada so connection ya kwenda Marekani alikuwa nayo na huko alienda kwaajili ya masomo.Ingekuwa kila mtu anaishi alipozaliwa hata hao kina mo na gsm usingewajua maana gsm katokea kwao yemen ndio kaja kufanikiwa huku, mo babu zake walitokea india wakaja bongo na family members wengine wapo marekani na yeye kasoma marekani, bakhressa family embers wengi wapo oman , elon musk katoka kwao southafrica kaenda kutobolea marekani,
Wewe kaa hapo mbagala halafu endelea kutukana watu wenye uthubutu, acha kuogopa kutoka kwenu nenda katafute mafanikio hayaji kizembe zembe
Sawa mbona hakurudi kwa southafrica au canada? Watu wanaangalia opportunity sio kung'ang'ania sehemu kisa kwenuMkuu nitajie Mtanzania aliyepata mafanikio huko Marekani. Na kuhusiana na Elon Musk yule mama yake ni Mcanada so connection ya kwenda Marekani alikuwa nayo na huko alienda kwaajili ya masomo.
Ndo unitajie Mtanzania aliyetoboa Marekani au South Africa.Sawa mbona hakurudi kwa southafrica au canada? Watu wanaangalia opportunity sio kung'ang'ania sehemu kisa kwenu
Kwenye dini tunafundishwa kama unaona mambo hayaendi sehemu uliyopo ondoka hamia sehemu nyingine, fursa inafatwa
Inategemea kwako mafanikio ni nini,maana kila mtu ana standard zake za maisha ila jua kuwa average american employee analipwa si chini ya usd 25 kwa saa yani tsh 60,000 kwa saa kwa hiyo kwa haraharaka mtu anaweza akatengeneza si chini ya 10m kwa mwezi ,huku akiishi kwenye best health care system, huku elimu ikiwa bure, na best infrastructure dunianiMkuu nitajie Mtanzania aliyepata mafanikio huko Marekani. Na kuhusiana na Elon Musk yule mama yake ni Mcanada so connection ya kwenda Marekani alikuwa nayo na huko alienda kwaajili ya masomo.
Mkuu nakubali sijawahi kwenda Marekani lakini siyo kila mbongo anayeenda huko atalipwa mshahara huo wengi wao huajiriwa kama watu wa usafi kwenye majumba au sehemu mbalimbali na hapo wanachukuliwa kama vibarua. Yaani kiufupi wengi wao wanaishi maisha ya kubangaiza.Inategemea kwako mafanikio ni nini,maana kila mtu ana standard zake za maisha ila jua kuwa average american employee analipwa si chini ya usd 25 kwa saa yani tsh 60,000 kwa saa kwa hiyo kwa haraharaka mtu anaweza akatengeneza si chini ya 10m kwa mwezi ,huku akiishi kwenye best health care system, huku elimu ikiwa bure, na best infrastructure duniani
Huwezi kufananisha na mfanyakazi wa halmashauri hapa tanzania hata siku moja , huku kwetu kutoboa lazima uibe, huko dunia ya kwanza mtu anatoboa kwa mshahara tu halali nsio tofauti ilipo, kwanza tusiwe tu tunabishana ushaenda nchi gani ya dunia ya kwanza ili tujue unaongea from which angle
Maana kama umeishi maisha yako yote ileje huweI kumuelewa mtu aliyoenda kutafuta maisha japana au marekani
Uku njaa inakuua mapema tu asubuhHiyo ni perception yako kuhusu mimi ila Tanzania na nchi nyingi
za Afrika hazina natural calamities nyingi kama ulaya na Asia.
Na tsh60,000 kwasaa unaweza ona ni nyingi lakini gharama za kuishi Marekani zipo juu kuliko za kuishi hapa bongo.Inategemea kwako mafanikio ni nini,maana kila mtu ana standard zake za maisha ila jua kuwa average american employee analipwa si chini ya usd 25 kwa saa yani tsh 60,000 kwa saa kwa hiyo kwa haraharaka mtu anaweza akatengeneza si chini ya 10m kwa mwezi ,huku akiishi kwenye best health care system, huku elimu ikiwa bure, na best infrastructure duniani
Huwezi kufananisha na mfanyakazi wa halmashauri hapa tanzania hata siku moja , huku kwetu kutoboa lazima uibe, huko dunia ya kwanza mtu anatoboa kwa mshahara tu halali nsio tofauti ilipo, kwanza tusiwe tu tunabishana ushaenda nchi gani ya dunia ya kwanza ili tujue unaongea from which angle
Maana kama umeishi maisha yako yote ileje huweI kumuelewa mtu aliyoenda kutafuta maisha japana au marekani
Hiyo ni kweli nchi zote za dunia ya kwanza zina mifumo imara kwahiyo wote wanalipa kodi ingawa wao kodi yao wanaiona kwa kupewa huduma boraM
Na tsh60,000 kwasaa unaweza ona ni nyingi lakini gharama za kuishi Marekani zipo juu kuliko za kuishi hapa bongo.
Sasa hao walikuwa na connection ndo maana wana survive huko sasa wewe ulitaka mtu asiyekuwa na connection aende huko kwasababu ni "hustler".Hiyo ni kweli nchi zote za dunia ya kwanza zina mifumo imara kwahiyo wote wanalipa kodi ingawa wao kodi yao wanaiona kwa kupewa huduma bora
Huku mshahara na vipato ni vidogo ili uishi vizuri lazima uwe mwizi we chunguza hata ndugu zako walioajiriwa wanaishi kwa wizi wizi tu na rushwa
Otherwise vipato vya dunia ya kwanza ni vikubwa mnoooo asikudanganye mtu toka nenda kapambane ukipata opportunity
Mimi nina rafiki zangu na ndugu zangu wapo marekani, wameajiriwa na wengine wamejiajiri nikikwama ukipiga simu moja tu mtu anakukopesha 20m bila ya kelele , nitafutie muajiriwa wa bongo hata ndugu yako kama ataweza hata kukukopesha hiyo hela
Na hapa bongo wote wana properties za maana mmoja juzi kanunua nyumba masaki na ni muajiriwa tu marekani ,ni nurse tu, haya nitafutie nurse wa muhimbilimwenye hata akiba ya 10m bank?
Kama huna watu ambao mnaweza kukopeshana au kusaidiana hela nyingi bado una safari ndefu sana kwenye maishaSasa hao walikuwa na connection ndo maana wana survive huko sasa wewe ulitaka mtu asiyekuwa na connection aende huko kwasababu ni "hustler".
Alaf mtoto wa kiume punguza kuomba hela kwa ndugu na marafiki yaani unajisifia kabisa umekopeshwa millioni20.
Ngoja tumuwekena ushahidi wa baridi lilivyo ...ahh Acha watu wangarishe ngozi ukirudi nyumbani unangaaaaInaelekea mtoa taarifa,kuna jamaa alimtosa kwenda mbele.
Hawana confidence ya kurudi wengi wao wanaona aibu.
Shida hao mahustler wanataka mafanikio ya chapchap so wanaenda huko wakiamini watafanikiwa kumbe tamaa mbele mauti nyuma. Anaweza asipigwe na baridi ila akaingia kwenye madawa ya kulevya.
Una maana bora wa huku wanaokufa kwa njaa na magonjwa ??Homeless wamarekani wanakufa kwa baridi kali bora wa huku.
Bila shaka Kiranga na Maghayo wanapitia hii hali yakuwa homeless baada ya kufukuzwa na mabibi ya kizunguNi vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya hatari kama huna sehemu salama ya kujisitiri ni hatari kwa afya na uhai.
Juzi nimesoma kwenye habari miili ya wanaume wawili homeless huko Houston jimbo la Texss imeokotwa stand tayari wamepoteza uhai.
So ni bora kama huna uhakika na uendako fanya mapambano ya maisha hapa hapa nchini au nchi nyingine ambazo una uhakika wa kupata huduma za msingi za kibinadamu.
Kwamba haujafukuzwa kwa bibi wa kizungu?Mkuu,
Mimi nina utani na wewe?