Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
Huyo ni mwehu sijui hata kama natural calamities anazijua et Njaa. Kwa style hii Mbowe atafia kwenye kiti kama mwenyekiti . Ndugu Melo aweke utaratibu wa kufanya assessment ya IQ au special matriculation kind of stuff humu tutajaza wakina Ntobi.Mkuu lini ulisikia kuna tetemeko la ardhi Afrika? au Tsunami au winter storm kama Marekani?
Kuhusiana na njaa na milipuko ya magonjwa hizo siyo natural calamities ni matatizo yanayosababishwa na binadamu na yanaweza kuepukika.