Poleni sana Wabongo ambao ni homeless huko Marekani kwa sababu baridi huko kwa sasa sio ya mchezo.

Sasa Ile kaulinya "Kwa msaada wa marekani" inafaida Gani kama kwao kunawahitaji wanashindwa kuwasaidia alafu wanaonesha huruma Kwa watoto wakambo Ina ingia akilini kweli? Au ndio mitego ya kutukamua zaidi.
 
Matatizo yanayoikabili afrika ni makubwa mno kuliko hiyo baridi ya USA tatizo ni kwamba tumeyazoea hayo matatizo
Ukienda maeneo ya stand kuu kama mbezi nyegezi n.k Kila siku wanaokota maiti za homeless ila ni vile sio big deal ndio maana tunaona USA wanateseka wakati in real sense wanamaisha mazuri sana
 
Shida hao mahustler wanataka mafanikio ya chapchap so wanaenda huko wakiamini watafanikiwa kumbe tamaa mbele mauti nyuma. Anaweza asipigwe na baridi ila akaingia kwenye madawa ya kulevya.
Hatari sana, au gang za uporaji na wadada kwenye kuuza miili yao.
 
Uliona wapi mtoto wa mitaani kafa kwa njaa?
Mpaka uone kwenye TV kama ulivyoona hao wa US? Kwa namna hiyo unasubiri sana. Huku nilipo hobos/homeless wapo kibao lakini wengine wanalala kwenye magari yao, wengine mitaani huku wakijihudumia kwenye public washrooms ila ukitoa mateja kikawaida kuwa homeless ni upumbavu wa kujitakia
 
Wapi huko mkuu
 
Matatizo yanayoikabili afrika ni makubwa mno kuliko hiyo baridi ya USA tatizo ni kwamba tumeyazoea hayo matatizo
Ukienda maeneo ya stand kuu kama mbezi nyegezi n.k Kila siku wanaokota maiti za homeless ila ni vile sio big deal ndio maana tunaona USA wanateseka wakati in real sense wanamaisha mazuri sana
Stend ya wapi wanaokotwa ?
 
wewe ni MNAFIKI tu, mbona hapa TZ homeless wamejaa sana haswa DAR. we unawahurumia hao wa Amerika?
Hata kama Dar wapo hawajapata tatizo la kuondoa uhai kama huko Marekani ndio

maana natoa pole kwao. Mbona imekuwa too personal kwako mkuu ni miongoni mwao
nini? Eleza upo jimbo gani huko upate msaada.
 
Matatizo yanayoikabili afrika ni makubwa mno kuliko hiyo baridi ya USA tatizo ni kwamba tumeyazoea hayo matatizo
Ukienda maeneo ya stand kuu kama mbezi nyegezi n.k Kila siku wanaokota maiti za homeless ila ni vile sio big deal ndio maana tunaona USA wanateseka wakati in real sense wanamaisha mazuri sana
Mkuu homeless wa huku ni wakujitakia mtu anatoka zake kijijini anakuja dar kichwakichwa hana ili wala lile na homeless wa huku magonjwa ndo yanawamaliza sio kama wa Marekani ambao wanagandishwa na baridi kali.
 
Back
Top Bottom