Kipigo cha leo,wameamini bana mboka si bamuchezoPole Sana Kwa Wa Tanzania Wote
Wameiona tabuWalizani Tutawachiliya Walikuja Ni Michachali Paka Wakafunga Goal Moja Wakazani Ni Mwisho Kumbe Klabu Letu Ilikuwa Mkali Zaidi Kuzidi Ata Kali Za Pilipili Paka Ika Wawasha Nakuwa Sumbusha Goal Ine Kwa Moja 4-1 Uruma Sana Na Wamezimika Nakukatika Mtandaoni
La kukungutwa 17 ktk game 4 za away? Kwani mlijiwekea mfungwe si zaidi ya goli ngapi mkuu ndani ya game hizo NNE za awayLengo tumelivuka
Kyakya wabongo bana,et lengo mmelivuka,,,mmefka wap sasa na kama sio maumv tu....Lengo tumelivuka
Mimi mwana mboka,waambie watanzania wenzioSio pole semeni hongereni simba kwa kututoa kimasomaso mbona mnakosa staha? Au mnafurahia kimya kimya. Timu lenu lilipata nafasi mara nne lakini likiishia wapi? Mkabaki tu na kujipa majina ohh wa kimataifa kumbe ninyi ndo mburera. Kwan Yanga mkikubali kwamba simba imewaondolea aibu mtakufa? Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Simba imejitahidi hata kufika ilipofika inatosha! Kazi kwenu watembeza bakuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lengo. .. porto ya Mourinho ilivyochukua UEFA Champions League walikuwa na lengo la makundi? Professional wenu ovyo kabisa.. Mechi kubwa watu wanagongana ila mikia mnaacha spaceLengo tumelivuka
UNAJISAHAULISHALeo ulikuwa mchezo wa marudio kati ya simba ya tanzania na TP MAZEMBE ya congo.
Simba imeshuhudia kichapo kwa lugha nyingine kipigo cha magoli manne kwa moja,
Jiji la dar limezima,Tanzania leo bar zote zimefungwa,watanzania wana maumivu ya kichapo,ndoto za anko magu zimeishia njiani.
Tuchukue muda huu kutoa pole kwa wana simba na watanzania walio na mwaumivu ya kichapo cha leo..
HAPANA CHEZEA MUTU YA CONGO
Sent using Jamii Forums mobile app