Poleni sana wana simba kwa kuwaliza Watanzania

Poleni sana wana simba kwa kuwaliza Watanzania

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Leo ulikuwa mchezo wa marudio kati ya simba ya tanzania na TP MAZEMBE ya congo.

Simba imeshuhudia kichapo kwa lugha nyingine kipigo cha magoli manne kwa moja,

Jiji la dar limezima,Tanzania leo bar zote zimefungwa,watanzania wana maumivu ya kichapo,ndoto za anko magu zimeishia njiani.

Tuchukue muda huu kutoa pole kwa wana simba na watanzania walio na mwaumivu ya kichapo cha leo..

HAPANA CHEZEA MUTU YA CONGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walizani Tutawachiliya Walikuja Ni Michachali Paka Wakafunga Goal Moja Wakazani Ni Mwisho Kumbe Klabu Letu Ilikuwa Mkali Zaidi Kuzidi Ata Kali Za Pilipili Paka Ika Wawasha Nakuwa Sumbusha Goal Ine Kwa Moja 4-1 Uruma Sana Na Wamezimika Nakukatika Mtandaoni
 
Sio pole semeni hongereni simba kwa kututoa kimasomaso mbona mnakosa staha? Au mnafurahia kimya kimya. Timu lenu lilipata nafasi mara nne lakini likiishia wapi? Mkabaki tu na kujipa majina ohh wa kimataifa kumbe ninyi ndo mburera.

Kwan Yanga mkikubali kwamba simba imewaondolea aibu mtakufa? Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Simba imejitahidi hata kufika ilipofika inatosha! Kazi kwenu watembeza bakuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio pole semeni hongereni simba kwa kututoa kimasomaso mbona mnakosa staha? Au mnafurahia kimya kimya. Timu lenu lilipata nafasi mara nne lakini likiishia wapi? Mkabaki tu na kujipa majina ohh wa kimataifa kumbe ninyi ndo mburera. Kwan Yanga mkikubali kwamba simba imewaondolea aibu mtakufa? Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Simba imejitahidi hata kufika ilipofika inatosha! Kazi kwenu watembeza bakuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwana mboka,waambie watanzania wenzio
 
Leo ulikuwa mchezo wa marudio kati ya simba ya tanzania na TP MAZEMBE ya congo.

Simba imeshuhudia kichapo kwa lugha nyingine kipigo cha magoli manne kwa moja,

Jiji la dar limezima,Tanzania leo bar zote zimefungwa,watanzania wana maumivu ya kichapo,ndoto za anko magu zimeishia njiani.

Tuchukue muda huu kutoa pole kwa wana simba na watanzania walio na mwaumivu ya kichapo cha leo..

HAPANA CHEZEA MUTU YA CONGO

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAJISAHAULISHA
mrishompoto-20190414-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom