IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Nyie wale waliowapiga 4 mwaka huu huu jina lao wanaitwaje,nikumbushe nimewasahauUkiitaja LIBOLO FC, hutawaona tena maana wana short and selective memory!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wale waliowapiga 4 mwaka huu huu jina lao wanaitwaje,nikumbushe nimewasahauUkiitaja LIBOLO FC, hutawaona tena maana wana short and selective memory!
Nmekukumbuka LIBOLO FC ya Angola [emoji1029] ilivowafanya
Poa Asante Sana mtani. Umetushauri vizuri sana watakaokutukana nitawatukana na Mimi.Mpira wa leo kati ya Wekundu wa Msimbazi na Nkana Red Devils ulikuwa mkali sana japo Simba wamefungwa goli 2-1wakiwa na faida ya goli la ugenini. Mnatakiwa mjipange sana kwa ajili ya mechi ya nyumbani. Simba inaweza kujifariji kuwa hapa ni nyumbani LAKINI Nkana ni timu nzuri na hata asilimia ya kumiliki mpira waliwazidi Simba.Nadhani mlimuona Kessy anavyokokota mpira japo mlimuona hafai. Marudio ni baada ya wiki mbili msije mkarudi tena kwenye ligi mkiwa mnashika namba tatu. Ninawatia kila la kheri wewe Wekundu wa Msimbazi.
Wala, mna miaka almost 15 hamjaingia hatua ya makundi.Simba ikipenya nahisi utakunywa sumu
ilitobolewa mbele yakeSimba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.
Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Just confirming that you have short and selective memory. Thanks for confirming my observation.Nyie wale waliowapiga 4 mwaka huu huu jina lao wanaitwaje,nikumbushe nimewasahau
Hahaaaah mkuu unakumbuka team iliyomfunga mtani wako nne mwaka 2013...unashindwa kuikumbuka team iliyokupiga we nne mwaka huuhuu juzi tu hapo...kati ya mi na wewe nani anashort and selective memory...juzi tu hapa mtu kapigwa nne alafu anasahau anakumbuka ya simba miaka mitano nyuma...hahaaaaah...inakera eeeeeehJust confirming that you have short and selective memory. Thanks for confirming my observation.
Kama unakumbuka, si useme Kiongozi?Hahaaaah mkuu unakumbuka team iliyomfunga mtani wako nne mwaka 2013...unashindwa kuikumbuka team iliyokupiga we nne mwaka huuhuu juzi tu hapo...kati ya mi na wewe nani anashort and selective memory...juzi tu hapa mtu kapigwa nne alafu anasahau anakumbuka ya simba miaka mitano nyuma...hahaaaaah...inakera eeeeeeh
Nmekukumbuka LIBOLO FC ya Angola [emoji1029] ilivowafanya
Nataka ukumbuke wewe,kama unaweza kumbuka wewe timu iliyompiga mtani wako nne miaka tano nyuma unashindwaje kukumbuka timu iliyokupiga wewe 4 mwaka huu...??Kama unakumbuka, si useme Kiongozi?
Mlipomuita Magu mbona mlipigwa taifa Na Kagera sugar!Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.
Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Vipi Kuhusu FC Libolo waliwafunga mkiwa mnachezea uwanja you mkuu?Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.
Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Kiporo cha Lipuli FC ni kama acceleration due to gravity kitachacha maana Matola ana hasira ya kutopewa ukocha msaidizi Simba.Week mbili zijazo watarudi TPL kusuka au kunyoa kwenye viporo. Vingapi vitachacha?
Utakuwa unapoteza kumbukumbu,ngoja watakuja kuwatoa kamasi hapo hapo kwa mchinaSimba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.
Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Ukiitaja LIBOLO FC, hutawaona tena maana wana short and selective memory![/😁😁😁😁😁😁]
Wamechanganyikiwa mkuuhovyo kabisa mikia. halaf wanashangilia kipigo.
Walidhani wale ni Mbabane Swallows. Nkana ana uwezo wa kushinda Dar.Utakuwa unapoteza kumbukumbu,ngoja watakuja kuwatoa kamasi hapo hapo kwa mchina
Na kuna striker wao tegemeo mbewe alicheza dakika 10 tu...na wakija taifa watajiachia sana cos uwanja mkubwa na hawawezi kosa goals pale taifa kwa beki ya babu wawa na pazIa manulaWalidhani wale ni Mbabane Swallows. Nkana ana uwezo wa kushinda Dar.
Atakuja na strategy ya kujilinda na counter attach za kasi sana.
Kwa tamaa ya kupata goli, Simba itakuwa exposed nyuma. Nkana wana uwezo wa kupata goli Dar.